Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,980
Italiwa na wanyama pori kama simba na mafisi mkuu na ndege kama tai na mweweWatuletee nyama hiyo ni tamu sana
Naipenda nyama ya tembo maana INA kila aina ya mnyama. IPO ya twigs, faru, kiboko, mbogo, sungura , fisi n.k Kutegemea unakata sehemu gani ya tembo.Italiwa na wanyama pori kama simba na mafisi mkuu na ndege kama tai na mwewe
Naipenda nyama ya tembo maana INA kila aina ya mnyama. IPO ya twigs, faru, kiboko, mbogo, sungura , fisi n.k Kutegemea unakata sehemu gani ya tembo.
Kabisa halafu kwenye Maji haizami hiyo nyama, inaelea tu.Mbwa mwitu,chui,nyani,honey baja,nguchiro na paka poli
hizi myth tulikua tunaambiana tukiwa watoto ha ha ha ha utoto rahaNaipenda nyama ya tembo maana INA kila aina ya mnyama. IPO ya twigs, faru, kiboko, mbogo, sungura , fisi n.k Kutegemea unakata sehemu gani ya tembo.