<br /><font color="#0000ff">baa zinachomwa, meli zinazama,boti zinazima, watu wanakufa vyote tumsingizie </font>Mungu mbona ulaya haya hayapo
<br />More update plz....hiyo serengeti ndo ikiyoopoa maiti toka mv spice?
haya tuna subiri tamko la serikali na tume iundwe mara moja.....maana ndiyo zaoBoti ya Sea Express inayofanya safari zake kati ya Zanzibar-Dar, Dar-Zanzibar.
Imezimika ghafla ikiwa inaelekea jijini Dar,
kwa mujibu wa rafiki yangu ambaye alikuwa ndani ya boti hiyo amesema; boti ilipofika karibu na kisiwa cha Chumbe, injini zote zilizima, umbali kutoka Bandari ya Zanzibar mpaka kisiwa cha chumbe ni kama KM 10. Lakini baada ya muda injini za boti ziliwaka na boti ikageuza kurudi bandari ya Zanzibar.
Taarifa zisizo rasmi zinasema Meli ya MV Serengeti nayo imeungua moto. Nitawajuza zaidi.
Malipo ni hapa hapa Duniani...walitutendea mabaya wamelipya mabaya....<br />
<br />
Hata kuungua kwa bar nako tumsingizie Mungu?
SUMATRA walifukuzwa huko Zanzibar inamaana shugulizao hazi husianai na zanzibar...Hapo kuna watu/mtu hajatimiza wajibu wake. Hivi SUMATRA hapa wanasemaje?