Boss Kusaga wa CMG mbona unadangaya watanzania hadharani?

radio 5 sidhani kama ni earadio maana ipo bado na ilianzia arusha na bado ipo!!

clouds bado inamchango kwe huu muziki ingawa alwakuta wengine kama ipp media... yeye aliuchukua hapo ulpo kuepo na kuendeleza kwa kuupa muda mwingi kuliko Radio zingine zilizo upa muda mwingi muziki wa kongo
shows kwa wasanii pia... mchango wa clouds sio wa kubezwa hatakidogo
 
Kujua jambo kisha ukaa kimya ni ubwege sio ujanja na ishara ya kukosa confidence.
Aah wapi, listening is an art..kujua na kukaa kimya haimaniishi utaacha hali iendelee kua hivyo..sometimes una observe tu jamaa yangu punguza wenge😣😣
 
Ametoa mastar mbumbu ambao hawajielewi ambao leo wanamtukana yeye sababu muongo ngoja nimkumbushe baadhi ya mastar walikuwepo kabla ya clouds kuanza mfano

Khadija kopa
Abdul misambano
issa matona
Mzee small
Mzee majuto
Mr 2 sugu
Soggydogy
Caz T
Dr Remy ongala
Marijan Rajabu
Tx moshi
Nk
Hawa tuliwajua clouds hatuijui
 
Ndio maana watu wengi siku hizi hawapendi Clouds kwa sababu hizi za sifa za kijinga.. yaani wanajiona kama wao ndio kila kitu kwenye sanaa ya Tanzania wakati kuna vituo vingi tu vikongwe hapa nchini. Wasanii walikuwepo toka enzi na enzi... Halafu nimesikia anasema kwenye Fiesta hawafaidiki chochote, hivi kweli kuna mfanyabiashara huwa anafanya biashara hewa? hawa jamaa wanaona kila mtu anaupeo mdogo... Lengo lao mwanzo pengine lilikuwa nzuri. Wamejitahidi kiasi fulani kusaidia sanaa, hilo ni kweli lakini pia wameua na kukandamiza wasanii wengi tu. Hili pengine viongozi hawahusiki lakini watangazaji wao wengi wanafanya kazi kimahaba na baadhi ya watu... watangazaji wao pia ni tatizo tu kwa miaka ya hivi karibuni...
Mengine naunga mkono hoja lakini kwenye la fiesta umemnukuu vibaya, kasema fiesta inaandaliwa na watu 15 (akirefer wadhamini) kasema kwa kiingilio fiesta haiwezi kuendeshwa kwa kiingilio kwa sababu maandalizi tu yana cost sana hivyo viingilio siyo vyanzo vya kuendesha fiesta.
Na ukiangalia ni kweli kabisa fiesta haiwezi kuendeshwa kwa viingilio ashukuruwe tigo lazima anaweka mzigo wa maana kama ambavyo voda alivyokuwa anaweka mzigo kwenye ligi alipoutoa tu ligi inasua sua
 
Tajeni star aliyetolewa na hzo Redio mnazozisema
Kizazi cha kwanza chote cha bongo fleva hakijatolewa na CMG mf Sugu, Prof Jay, Mabaga Fresh, Solid ground family, Mwana Fa, Inspector Harun, Luteni Kalama, Jay Moe, Afande Sele, Solo Thang, hawa wote ni kazi ya ITV, Radio One na Radio Free. Enzi hizo watangazaji maarufu nia akina Misanya Bingi, Aboubakar Sadiki na John Dilinga, Clouds walianza kuiteka industry za bongo fleva kuanzia 2005.
 
Anaweza kuwa sahihi kiasi fulani ingawa ameongeza chumvi. Nani anakumbuka rap time na Mike Mhagama? Vipi The heat na DJ John Dilinga na Sos B kule radio one. In short Dr Beat (siku hizi XXL) ya Ml Chriss na DJ Boniluv a.k.a papa luv hapo clouds ndio kilianza kutoa upinzani kwa The Heat a.k.a joto la ijumaa lakini bado wananchi wengi mchana walikuwa hawabanduki radio one.

Ila Clouds walitikisa sana, hatorudi ile ..
 
Hujui kitu kaa kimya ulizia fa nyimbo ya kwanza karekod wapi
Kizazi cha kwanza chote cha bongo fleva hakijatolewa na CMG mf Sugu, Prof Jay, Mabaga Fresh, Solid ground family, Mwana Fa, Jay Moe, Afande Sele, Solo Thang, hawa wote ni kazi ya ITV, Radio One na Radio Free. Enzi hizo watangazaji maarufu nia akina Misanya Bingi, Aboubakar Sadiki na John Dilinga, Clouds walianza kuiteka industry za bongo fleva kuanzia 2005.
u
 
Watu mna kumbu kumbu aseee

Akibisha niite tuu hapa nakunywa
Hakuna redio iliyokuza mastar wengi na kuwaleta masikioni mwa watu wengi nchini kama RADIO FREE AFRICA na ndio redio ya kwanza kusikika NCHI NZIMA kwa masafa ya FM. Maeneo mengi tu hadi leo hawaijui clouds.
 
Back
Top Bottom