Tovuti za serikali ni complicated na outdated. Sio user friendly na nashangaaa Unashindwa ku coordinate simple instruction kwa kila idara na wizara za serikali kuhusu huduma hii ili infomation ziwe coordinated.
Mfano mpaka leo tovuti ambayo wewe ndio bosi haina listi na picha za menejimenti yenu ambayo ni kinyumbe na Agilo la Rais.
Ushaidi huu hapa:
http://www.ega.go.tz/index.php/pages/get_structure
Pia katika tovuti yenu mmeshindwa ku update majina ya mawaziri na watendaji wakuu wa serikali.
Sasa sikiliza mkuu, kama unashindwa kufanya vitu vidogo vidogo kama hivi, nashauri kama hii kwako gumu na zito basi achia ngazi mapema kabla hujaondolewa.
Ushahidi wa uzembe wako na watendaji wako huuu hapa:
http://www.tanzania.go.tz//profiles/profiles/lists/6/3