Richard benson
Member
- Jun 2, 2016
- 36
- 11
Mkuu Chief-Mkwawa njoo uokoe jahazi huku....Wana teknolojia mlioko hapa,
Naomba msaada wa dharura. Bosi kanipa link ambayo ni Website version ya PDF, anasema uki-update kule Website pia ita update. Sasa naanzia wapi, je hakupaswa kunipa vitu k.v. Login detailss, au cPanel nk? Link ni ya HTML kwa ajili ya kuupdate hiyo Website.
Asanteni
Bosi kanipa link, nimeifungua kwenye Browser, anasema...niedir hiyo PDF from that link, halafu automatically Website itaupdtae. Ina maana hii document inaweza kuwa ipo kwenye Server...ndio maana nikasema hakuna kinachomisi? kwamba either alipaswa anipe access ya kwenye server/ cPanel nk? msaada wako tafadhaliFungua iyo pdf yako then control all text kwenye pdf uliyopewa then copy baada ya kukopy fungua microsoft word nyingine hapo unapaste ile kazi from pdf
then unauwezo wa kuedit sasa na mara baada ya kuedit wakati wa kusave iyo ms word yako save as pdf then your over
Bosi kanipa link, nimeifungua kwenye Browser, anasema...niedir hiyo PDF from that link, halafu automatically Website itaupdtae. Ina maana hii document inaweza kuwa ipo kwenye Server...ndio maana nikasema hakuna kinachomisi? kwamba either alipaswa anipe access ya kwenye server/ cPanel nk? msaada wako tafadhalimkuu Umesoma IT chuo gani ?! kama si fani yako kaa pembeni toa nafasi kwa wenye fani zao usije ukavuruga
Hawa ndio wanaoletwa na wajomba ofisini. vilaza tu kuziba nafasi za wenginemkuu Umesoma IT chuo gani ?! kama si fani yako kaa pembeni toa nafasi kwa wenye fani zao usije ukavuruga
Wana teknolojia mlioko hapa,
Naomba msaada wa dharura. Bosi kanipa link ambayo ni Website version ya PDF, anasema uki-update kule Website pia ita update. Sasa naanzia wapi, je hakupaswa kunipa vitu k.v. Login detailss, au cPanel nk? Link ni ya HTML kwa ajili ya kuupdate hiyo Website.
Asanteni
Uwezi fanya marekebisho yoyote kama ww sio Administrator au Mhusika kama hauna taarifa za kuingia kwenye Hostage ya website yenu(Log in details) .Wana teknolojia mlioko hapa,
Naomba msaada wa dharura. Bosi kanipa link ambayo ni Website version ya PDF, anasema uki-update kule Website pia ita update. Sasa naanzia wapi, je hakupaswa kunipa vitu k.v. Login detailss, au cPanel nk? Link ni ya HTML kwa ajili ya kuupdate hiyo Website.
Asanteni
St. Josephmkuu Umesoma IT chuo gani ?! kama si fani yako kaa pembeni toa nafasi kwa wenye fani zao usije ukavuruga