Borussia Dortmund yamtimua kocha Thomas Tuchel

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,750
239,410
Nimefurahishwa sana na uamuzi wa timu hii , hakika huu ni uamuzi wa muhimu sana kwa Dortmund .

Huyu ni kocha aliyeshindwa kabisa kwenda na moto wa timu , timu hii imepoteza kabisa ule ukali wake wa miaka yote , wachezaji hawajiamini tena kama zamani , walikuwa wanapoteza mechi kijinga sana !

Kila la heri Dortmund
 
Tuchel kaondoka kwasababu ya kutokua na maelewano mazuri na viongozi wa timu. Hiyo ndio sababu kubwa,kuhusu matokeo na muenendo wa timu Tuchel kajitahidi kuijenga Dortmund upya.
 
Tuchel kaondoka kwasababu ya kutokua na maelewano mazuri na viongozi wa timu. Hiyo ndio sababu kubwa,kuhusu matokeo na muenendo wa timu Tuchel kajitahidi kuijenga Dortmund upya.
Baada ya kuijenga ikawaje ? Halafu huko kutofautiana ni vipi ?
 
Baada ya kuijenga ikawaje ? Halafu huko kutofautiana ni vipi ?

“The fact that Borussia Dortmund and Thomas Tuchel are nonetheless parting company has provoked criticism and a lack of understanding from some sections of our fan base,” wrote Watzke.

“We, the people responsible for the board of management, the club committees and the KGaA, can understand this. With Thomas Tuchel at the helm, BVB enjoyed two successful years in which our sporting objectives were achieved.

“However, we – Sporting Director Michael Zorc and myself – also did not always see eye to eye with the coaching staff during this period of collaboration.

A matter of trust

“When it comes to leadership responsibilities, it is not the result alone that matters – and in that respect, Borussia Dortmund is ultimately no different to any other sports club or business.

“What also matters are fundamental values such as trust, respect, the ability to communicate and work as a team, authenticity and identification. Qualities such as reliability and loyalty.

Read more at Borussia Dortmund publish open letter questioning Thomas Tuchel’s loyalty
 
Huyu jamaa sometimes habari zake waga zimejaa unafki tu na hisia binafsi kuliko ukweli, dortmund hawajamtimua kocha wao bali Tuchel ame resign, na pia kwa wachezaji waliokuwa nao msimu huu dortmund hawakuwa wachezaji wa kusema watashindania ligi na bayern, wengi wao wachanga kutoka Academy kwa nia ya kujenga upya timu kitu ambacho uongozi na kocha ndio lilikuwa lengo lao, ila ni mambo mengine tu ndio yamepelekea kocha kuachia ngazi
 
Hapana mkuu, Tuchel haja resign ila mkataba wake wameu terminate, Toka lile suala la bomu lilivotokea watzke hakupenda taarifa zilizotolewa na kocha kwamba hawakuwa tayari kucheza ile mechi less than 30 hrs baada ya tukio na pia hawakushirikishwa kwa lolote.

Kuanzia hapo maelewano kati yake na watzke yakashuka kama sio kuisha kabisa, lakini kabla ya hapo Kocha hakuwa na maelewano mazuri na baadhi ya senior players kama Schmelzer na sahin, hivo watzke akautumia huo mwanya kusitisha mkataba kwa kigezo kwamba kashindwa ku handle pressure ya wachezaji kwenye changing room.
 
Huyu jamaa sometimes habari zake waga zimejaa unafki tu na hisia binafsi kuliko ukweli, dortmund hawajamtimua kocha wao bali Tuchel ame resign, na pia kwa wachezaji waliokuwa nao msimu huu dortmund hawakuwa wachezaji wa kusema watashindania ligi na bayern, wengi wao wachanga kutoka Academy kwa nia ya kujenga upya timu kitu ambacho uongozi na kocha ndio lilikuwa lengo lao, ila ni mambo mengine tu ndio yamepelekea kocha kuachia ngazi
Nimecheka sana !
 
Hiii ilikuaga tim ikiwa na
Klop uongoz wa tim nao

N wakimagumash kocha
Anatengeneza tim uongoz
Unauza wachezaj
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom