Quinton Canosa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2012 Posts 1,228 Reaction score 1,264 Dec 25, 2017 #1 Habari wakuu,kuna mashairi fulani ya reggae music yanizungumzia jamii na kuifananisha na BORLA BIRD,kwa anayemfahamu huyu ndege naomba anipe mwanga kidogo pamoja na sifa za huyu ndege
Habari wakuu,kuna mashairi fulani ya reggae music yanizungumzia jamii na kuifananisha na BORLA BIRD,kwa anayemfahamu huyu ndege naomba anipe mwanga kidogo pamoja na sifa za huyu ndege