Kweli umesomea marketing, yaani hata mteja mtalajiwa akutukane....Samahani mkuu, mimi nimekulia kijijini na bado naishi kijijini, kuna mambo mengine huitaji kuwa na elimu ya juu ili kuyaelewa bali logic, instincts, and common sense.
Hivi kwenye kutafuta pesa unadhani afya ya mtu ni jambo la kipaumbele? Njia rahisi ya kuondoa sumu mwilini sio kutumia sumu,alovera iliyolimwa kwa ajiri ya biashara na ile iliyoota kwetu Bumyengeja zina ingridients sawa? Nikienda porini nikachuma majani yangu ya alovera ni sawa na hayo unayouza ambayo lazima yawe na presertative nk... Uzungu wa kudhani kutumia packed product ndio kwenda na wakati.