Bora ufeli interview ila si kukataliwa hata kabla ya interview

Me naomba kuuliza kama hauna kitambulisho cha nida wala kura wala leseni ya udereva ila una leseni ya udaktari watakubali ??
Ili nijue kesho naenda au siendi
 
Komaa na kilimo mkuu, huko tukuyu si hakuna mambo ya ukame! Kilimo kitakulipa
 
Let me get this straight, wewe ni Dr na unataka kazi ya sensa

interesting

Yes kwan ni vibayaa au kuna sheria inasema sitakiwi kuomba kwasababu me ni daktari Ukiridhika na maisha ndo utaona kwamba watu fulani awatakiwi kuomba kazi fulani wakati Tangazo la kazi linanipa vigezo vya kutaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Me naomba kuuliza kama hauna kitambulisho cha nida wala kura wala leseni ya udereva ila una leseni ya udaktari watakubali ??
Ili nijue kesho naenda au siendi
Watakuambia nenda katibu wagonjwa! Logic ya vitambulisho vinavyokubaliwa ni kwamba upatikanaji wake unahusisha alama za vidole!! Cheti cha udaktari hakihusishi alama za vidole!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…