Mkuu nimefuatilia sana kitambulisho cha nida ila hola
Ndiyo mkuuView attachment 2296353
Soma namba 4 hapo
Umetafutiwa Sababu jomba. Eti sensa ijayoo😃😃😃😃Wakuu asubuhi ya leo nimeamka mapema sio kawaida na kuoga maji ya baridi na baridi hili la Tukuyu. Baada ya nikaelekea sehemu ambayo usaili wa makarani wa sensa unafanyika nakukuta idadi nzuri tu ya kuridhisha.
Majina yalivyoanza kuitwa kuingia ndani ya chumba cha usaili sie wengine tumezuiwa mlangoni kisa tu hatuna kitambulisho mojawapo kati ya NIDA na mpiga kura, au leseni. Hata kama una namba ya nida lakini kitambulisho huna wametuzuia na kutuambia tusubiri sensa ijayo.
Ngoja niende jukwaa la wazee wa mikeka nikapate odds za kunipa hela ya KASICHANA.
Wakuu asubuhi ya leo nimeamka mapema sio kawaida na kuoga maji ya baridi na baridi hili la Tukuyu. Baada ya nikaelekea sehemu ambayo usaili wa makarani wa sensa unafanyika nakukuta idadi nzuri tu ya kuridhisha.
Majina yalivyoanza kuitwa kuingia ndani ya chumba cha usaili sie wengine tumezuiwa mlangoni kisa tu hatuna kitambulisho mojawapo kati ya NIDA na mpiga kura, au leseni. Hata kama una namba ya nida lakini kitambulisho huna wametuzuia na kutuambia tusubiri sensa ijayo.
Ngoja niende jukwaa la wazee wa mikeka nikapate odds za kunipa hela ya KASICHANA.
Hivi mkuu kwa ulimwengu wa sasa mtu unawezaje kutokua na kitambulisho?,,na pia unaendaje kwenye usahili bila kitambulisho?Umetafutiwa Sababu jomba. Eti sensa ijayoo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Mkuu mimi nilikuwa na kadi ya mpiga kura ambayo niliipoteza pamoja na waleti yangu. Nida nimefuatilia kitambulisho mwaka mzima naambiwa badoHivi mkuu kwa ulimwengu wa sasa mtu unawezaje kutokua na kitambulisho?,,na pia unaendaje kwenye usahili bila kitambulisho?
Naomba tukumbushane wakati ujao ni baada ya miake mingapiView attachment 2296353
Soma namba 4 hapo
Kama ni hivyo pole sana mkuu, basi unatakiwa upambane upate hata leseni ya udereva iwe kama kitambulisho chako,maana ile hautachelewa sana kuipataMkuu mimi nilikuwa na kadi ya mpiga kura ambayo niliipoteza pamoja na waleti yangu. Nida nimefuatilia kitambulisho mwaka mzima naambiwa bado