Bora TRA wameongeza muda wa kulipa kodi ya majengo

otega zulu

Member
Mar 10, 2017
68
44
IMG-20170630-WA0015.jpg
Nimeona hili tangazo bora TRA wametufikiria na kutuongezea muda
 
Shida yetu wa Tanzania sasa tuta relax tena alafu kuanzia tarehe 14 Julai tunaanza kugombania milangoni mwa TRA
 
nimeenda leo shida tupu, ukienda bank unaambiwa mtandao unasumbua imebidi niache.
 
Shida yetu wa Tanzania sasa tuta relax tena alafu kuanzia tarehe 14 Julai tunaanza kugombania milangoni mwa TRA

Tatizo si ku relax . Ankara ya makadirio tumepata week mbili zilizopita . Kama tungejua mapema tungelipa . Na mfuno wa TRA wa kulipa kodi hii una urasimu na slow . Muda walioongeza bado ni mfupi kwa foleni niliyoiona . Na adhabu ya shs 75,000/- kwa watakaochelewa kulipa ni kubwa mno . Waongeze mpaka August 30 .
 
Back
Top Bottom