Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,636 Reaction score 44,392 Mar 10, 2017 #41 Veronica7598 said: Nyingi nyingi tu, yaan zinitoshe mpaka nigawe kama ivan wa zari Click to expand... Naww utamgaia nn?!
Veronica7598 said: Nyingi nyingi tu, yaan zinitoshe mpaka nigawe kama ivan wa zari Click to expand... Naww utamgaia nn?!
Espy_ JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 91,960 Reaction score 183,581 Mar 10, 2017 #42 paliemba said: Nimejiajiri mwenyewe katika kilimo of corse kwa mwezi ninaweza kupata mpaka laki tisa wewe una fanya Kazi gani Click to expand... Hapo kwenye hizo laki9 zangu zitakuwa kiaso gani? Mentor fursa za hivi unajifanyaga huzioni hata huniiti.
paliemba said: Nimejiajiri mwenyewe katika kilimo of corse kwa mwezi ninaweza kupata mpaka laki tisa wewe una fanya Kazi gani Click to expand... Hapo kwenye hizo laki9 zangu zitakuwa kiaso gani? Mentor fursa za hivi unajifanyaga huzioni hata huniiti.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,375 Reaction score 56,096 Mar 10, 2017 #43 paliemba said: Nimejiajiri mwenyewe katika kilimo of corse kwa mwezi ninaweza kupata mpaka laki tisa wewe una fanya Kazi gani Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
paliemba said: Nimejiajiri mwenyewe katika kilimo of corse kwa mwezi ninaweza kupata mpaka laki tisa wewe una fanya Kazi gani Click to expand... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mensaah JF-Expert Member Joined Sep 12, 2016 Posts 927 Reaction score 1,311 Mar 10, 2017 #44 Baba wa Mapaka said: Kilimo...... utasubiri PM sana nani kasema wasaa wanataka kuolewa na wakulima, wanataka wale wa mishe town out kila week then wewe unadhamiria kuwapeleka shamba Click to expand... Ndio maana hawaoelewi kwa kuchagua wenye vipato vikubwa hawajui walio juu walianzia chini
Baba wa Mapaka said: Kilimo...... utasubiri PM sana nani kasema wasaa wanataka kuolewa na wakulima, wanataka wale wa mishe town out kila week then wewe unadhamiria kuwapeleka shamba Click to expand... Ndio maana hawaoelewi kwa kuchagua wenye vipato vikubwa hawajui walio juu walianzia chini
ben milazo JF-Expert Member Joined Jan 18, 2015 Posts 995 Reaction score 678 Mar 11, 2017 #45 kweli nimeamini ni halali wanawake wengine wafanye importation ya men kutoka kenya coz men wengine sijui kama ni real men kwa hali hiii
kweli nimeamini ni halali wanawake wengine wafanye importation ya men kutoka kenya coz men wengine sijui kama ni real men kwa hali hiii
paliemba JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 445 Reaction score 214 Oct 11, 2017 Thread starter #46 Veronica7598 said: mfagiaji wa jiji, japo nmshahara sio mkubwa ila napata malupulupu kidogo Click to expand... Mambo
Veronica7598 said: mfagiaji wa jiji, japo nmshahara sio mkubwa ila napata malupulupu kidogo Click to expand... Mambo
S skylumu JF-Expert Member Joined May 14, 2017 Posts 210 Reaction score 106 Oct 11, 2017 #47 nikajua umempata tayari kumbe ndo unakuja tafuta huku,.ungeandika ngoja nitafute mke ila kila lakher.
nikajua umempata tayari kumbe ndo unakuja tafuta huku,.ungeandika ngoja nitafute mke ila kila lakher.