Bora nioe sasa

Kilimo......
utasubiri PM sana nani kasema wasaa wanataka kuolewa na wakulima, wanataka wale wa mishe town out kila week then wewe unadhamiria kuwapeleka shamba
Hii ina kaukweli sana!!!!!...jana mtu kaleftisha kisa anatumia sana pesa....nikaruhusu atafute type yake.... Hadi sasa ameanza kutafuta hizo type za kutumia laki kwa siku moja......
 
Hii ina kaukweli sana!!!!!...jana mtu kaleftisha kisa anatumia sana pesa....nikaruhusu atafute type yake.... Hadi sasa ameanza kutafuta hizo type za kutumia laki kwa siku moja......
OK
 
Nenda pale uwanja wa fisi uchangue mke ukamfue vizuri achana na hawa wa humu watakuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…