Bora nioe sasa

paliemba

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
445
Reaction score
214
Nimeona bora niowe tu. Kwa wale wanao taka kuolewa pm. Umri 25 mpaka, 31 alie serious tafadhali
 
Nimejiajiri mwenyewe katika kilimo of corse kwa mwezi ninaweza kupata mpaka laki tisa wewe una fanya Kazi gani
Laki tisa, unatarajia kuishi wapi!

Nione kama hiyo laki tisa itaweza kukabili maisha...

Je, pakiwa na ukame au mafuriko, sio mwanzo wa kuomba omba unaanzia hapo?

Nilitaka nikupe Miss Chagga but utampa shida kwa kutegema kilimo.
 
mfagiaji wa jiji, japo nmshahara sio mkubwa ila napata malupulupu kidogo
Jiji gani Hilo tena



Laki tisa, unatarajia kuishi wapi!

Nione kama hiyo laki tisa itaweza kukabili maisha...

Je, pakiwa na ukame au mafuriko, sio mwanzo wa kuomba omba unaanzia hapo?

Nilitaka nikupe Miss Chagga but utampa shida kwa kutegema kilimo.
Mm naona inatosha sijui miss chaga
 
Laki tisa..........na bado huna mke....sio bure....au sio rizki..............................
Kivipi kwani mke mke a napatikana kwa kuwa nauwezo wa kumiliki pesa nyingi kwa mwezi
 
Nimejiajiri mwenyewe katika kilimo of corse kwa mwezi ninaweza kupata mpaka laki tisa wewe una fanya Kazi gani
Kilimo......
utasubiri PM sana nani kasema wasaa wanataka kuolewa na wakulima, wanataka wale wa mishe town out kila week then wewe unadhamiria kuwapeleka shamba
 
Kilimo......
utasubiri PM sana nani kasema wasaa wanataka kuolewa na wakulima, wanataka wale wa mishe town out kila week then wewe unadhamiria kuwapeleka shamba
No mm mwenyewe siko shamba lakini nalima shamba na ndo maana nika sema walio serious
Nafagia Tanga city pale stend, ukija ukiulizia mama chawote utanipata nafahamika sna babaangu

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Mama chawote una watoto wangapi
 
Laki tisa, unatarajia kuishi wapi!

Nione kama hiyo laki tisa itaweza kukabili maisha...

Je, pakiwa na ukame au mafuriko, sio mwanzo wa kuomba omba unaanzia hapo?

Nilitaka nikupe Miss Chagga but utampa shida kwa kutegema kilimo.
kama anafanya cha umwagiliaji nije tufunge drip
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…