stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,223 Reaction score 5,150 Mar 28, 2018 #1 Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]
Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321]
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,362 Reaction score 83,358 Mar 28, 2018 #2 stickvibration said: Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321] Click to expand... Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba.
stickvibration said: Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321] Click to expand... Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba.
stickvibration JF-Expert Member Joined Feb 7, 2017 Posts 3,223 Reaction score 5,150 Mar 28, 2018 Thread starter #3 owomkyalo said: Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba. Click to expand... Weweee usilete uchochezi[emoji1321]
owomkyalo said: Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba. Click to expand... Weweee usilete uchochezi[emoji1321]
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,659 Reaction score 870,343 Mar 28, 2018 #4 stickvibration said: Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321] Click to expand... Nayo pia ni maandamano... Hata mtoto huanza kama mimba
stickvibration said: Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321] Click to expand... Nayo pia ni maandamano... Hata mtoto huanza kama mimba
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,362 Reaction score 83,358 Mar 28, 2018 #5 stickvibration said: Weweee usilete uchochezi[emoji1321] Click to expand... uchochezi ndo nini.mkuu
P popoma03 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2018 Posts 1,249 Reaction score 1,805 Mar 28, 2018 #6 stickvibration said: Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321] Click to expand... Sasa unafikiri watatoa kauli za kuunga mkono maandamano??
stickvibration said: Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321] Click to expand... Sasa unafikiri watatoa kauli za kuunga mkono maandamano??
mkorinto JF-Expert Member Joined Jun 11, 2014 Posts 32,086 Reaction score 39,585 Mar 28, 2018 #7 owomkyalo said: Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba. Click to expand... tena tumia ile barabara ya agakhan-feri ni nzuri sana hainaga usumbufu wa bodaboda.
owomkyalo said: Mimi ntaandama barabarani kwasababu ni haki yangu yakikatiba. Click to expand... tena tumia ile barabara ya agakhan-feri ni nzuri sana hainaga usumbufu wa bodaboda.
kson m JF-Expert Member Joined Jan 24, 2014 Posts 6,682 Reaction score 3,067 Mar 28, 2018 #8 stickvibration said: Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321] Click to expand... kamwulize kale ka zee causcesco.....kule romania.....tutambue siku hiyo huja ghafla !!!!!!!!
stickvibration said: Hii kauli ni nzito saana iliotolewa na viongozi wa juu wa serikalini Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241] Mungu Ibariki Africa[emoji1321] Click to expand... kamwulize kale ka zee causcesco.....kule romania.....tutambue siku hiyo huja ghafla !!!!!!!!