Ni hivi mshkaji wasichana wengi wanatamaa ya pesa na utakuta mvulana rika yake bado ni tegemezi kwao hawezi kumpeleka shopping na mambo mengine so ndo maana wa deal na watu wazima ambako wanatimiziwa mambo mengi,huoni hata wamama watu wazima wanawazimikia masela cos watu wazima wadate na videmu