Bora Kasinde ulivyoumbwa wa kike,la sivyo ungekua wakiume "list ya kina dada wanaokutaka ingekua refu"

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Hivi nani kashawahi mfuatilia platnum member mmoja hiv wa kujiita kassiiiiiii au mamaaa kasindeee?

Ushawahi ona vimaneno vyake vya kiudambwi udambwi anavyotumiaga akiwa hoi in love with....

Asee huyu bi mkubwa nasemaga laiti angekua wakiume halafu amuite mtoto wa kike aanze muimbisha

sidhani kama kuna mdada angechomoa,maana anavyojua pangilia maneno as if ni mshairi yani

Huyo dadiii wake anaemsemaga semaga sijui anajua mke wake ana maneno sumu kiasi hikiiii sijui kwakweli

Hivi mwanamke wa maneno ya hivi assume ndio umerudi una mihasira then unakuta HOME HAMNA CHAKULA

unamuita umuulize Vipi (huku ukiwa na jazba) aseee utaongeleshwa sentensi 1 tu na njaa yote itaisha utaenda sebleni

kusubiri Apike chakula.....

Wanawake mnapenda kubembelezwa ila tambueni hata wanaume tunapenda bembelezwa ila Kama hamuwezi kubembeleza

Chukueni short course kwa Kasinde nadhani ADA yake haitishi sana.

Mungu anapomuumba mtu wakike au wakiume Aseee hakoseagi (nimeamini)

Kuna mtu huwa anasemaga Wanawake wangekua wanaume na sisi Wanaume tukawa wanawake

Aseee hizi mimba tungetandikwa dabo dabo

Msalimieni na msim TAG kama mnamjua,muacheni aje tu siku Akutane na huu UZI.
 
Alishawahi kuniimbisha piyemu nikamtolea nje eti anipangishe kwake Mbezi
 
Niko jikoni napika wali harage, ngoja nimalizie kuandaa desert ikitoka sawia ntarejea kwenye huu uzi twende sawa.

Mleta mada natumai hakuna makando kando na figisu fihisu nyuma ya huu uzi.....

Kasinde Mahaba Matata Platunum.
 
Bado wapika vitu gani, uzi umekushika huu hadi kuandika unakimbia kimbia.... hebu mlaze mzee kisha mtoroke ukuje huku.

Kasinde MP.
 
Hivi nani kashawahi mfuatilia platnum member mmoja hiv wa kujiita kassiiiiiii au mamaaa kasindeee?

Ushawahi ona vimaneno vyake vya kiudambwi udambwi anavyotumiaga akiwa hoi in love with....

Asee huyu bi mkubwa nasemaga laiti angekua wakiume halafu amuite mtoto wa kike aanze muimbisha

sidhani kama kuna mdada angechomoa,maana anavyojua pangilia maneno as if ni mshairi yani

Huyo dadiii wake anaemsemaga semaga sijui anajua mke wake ana maneno sumu kiasi hikiiii sijui kwakweli

Hivi mwanamke wa maneno ya hivi assume ndio umerudi una mihasira then unakuta HOME HAMNA CHAKULA

unamuita umuulize Vipi (huku ukiwa na jazba) aseee utaongeleshwa sentensi 1 tu na njaa yote itaisha utaenda sebleni

kusubiri Apike chakula.....

Wanawake mnapenda kubembelezwa ila tambueni hata wanaume tunapenda bembelezwa ila Kama hamuwezi kubembeleza

Chukueni short course kwa Kasinde nadhani ADA yake haitishi sana.

Mungu anapomuumba mtu wakike au wakiume Aseee hakoseagi (nimeamini)

Kuna mtu huwa anasemaga Wanawake wangekua wanaume na sisi Wanaume tukawa wanawake

Aseee hizi mimba tungetandikwa dabo dabo

Msalimieni na msim TAG kama mnamjua,muacheni aje tu siku Akutane na huu UZI.

Haya nimewasili, imekuweje kuweje hadi ukawaza Kasie angekuwa mwanaume wanawake wasingechomoa kwangu.....

Sitaki hata kuwaza hiyo nafasi, kikeni huku raha sana kila kitu napewa hata jamii inatambua nafasi ya mwanamke na kutetewa. Japo nasaka pesa yangu mwenyewe ila saa ya kupewa utamu raahaaa aahahahahhahahaaa acha nizeeke nikiwa mwanamke.

Nyie wanaume mpambane mtustareheshe.
 
Sina hata darasa ndugu yangu na ualimu sijausomea wala sina kipaji hicho. Sanassna ntaishia kuwasimulia matukio yangu ya Mahaba basii.

Mleta mada hata sielewi hadi saa hii what's on on...
Ndiyo nataka unisimulie hayohayo..huenda nikan'gamua vya kumpa shemejio .
 
Back
Top Bottom