siwezi kufanya hard reset kwa sababu inaishia kwenye huawei logo na nimejaribu kuweka Stock rom using SP flash tool napata BROM ERROR: S_BROM_DOWNLOAD_DA_FAIL (2004) Fail to download DA to baseband chips internal SRAMUki hard reset kupitia recovery ni vp? (Ku wipe data & caches), kama ikizngua just tafuta latest Stock Rom na uflash,,, Bootloops za Huawei waga ni shida tupu..
nadhani amemaanisha ufanye hard reset kupitia recoverysiwezi kufanya hard reset kwa sababu inaishia kwenye huawei logo na nimejaribu kuweka Stock rom using SP flash tool napata BROM ERROR: S_BROM_DOWNLOAD_DA_FAIL (2004) Fail to download DA to baseband chips internal SRAM
hiyo imeshakuwa history ch kufanya kanunulie mashine nyingine iliyokuwa nzima zinasumbua sana hizo cmhow to do that? kwa sababu recovery nahisi haiko compartible na phone so nikitumia combination keys (power+vol up) still inaishia kwenye bootloops tu