Ndiyo window niliinstall kwenye PC nyingineSjaelewa Kidogo??? Window ulienda ku install kwenye pc nyingne au?
Zote ni LenovoKama uliinstall kwenye pc nyingine ni mara chache sana kukubali,labda kama nayo ni lenovo tena model hiyo hiyo ulionayo !!
Kama uliinstall kwenye pc nyingine ni mara chache sana kukubali,labda kama nayo ni lenovo tena model hiyo hiyo ulionayo !!