Hivi hizi program huwa zinafanya kazi kweli kama ya kufuta na Ku boost memory au huwa ni danganya toto. Mi huwa sielewi eti ukigusa unashangaa roketi linapaa
Hivi hizi program huwa zinafanya kazi kweli kama ya kufuta na Ku boost memory au huwa ni danganya toto. Mi huwa sielewi eti ukigusa unashangaa roketi linapaa View attachment 1436607
kila unavyotumia app yoyote kwenye simu, huwa inatengeneza data au cached data kwenye mafolder flani, kwa mfano unaweza install facebook yenye mb50 baada ya muda ukakuta ina mb150 n.k hivyo hivyo kwa app zingine. Sasa ili kupunguza unnecessary MBS basi itakubidi ukafute(clear) cache and data manually huoni ni kazi, mfano una app 30 kwenye simu unaweza kufuta cached data kwa kila moja ila itachukua muda, kwa hiyo hizo app zinasaidia kwani zinafanya automatically na hayo marocket unayo yaona ni viashiria tu. Tafuta premium apps.