Boom la Serikali HESLB

acha kumzihaki mwenzio ww kama hutaki kuchangia kaa kimya tu maana huu uzi utakuepo mpaka miaka 7 ijayo na itakua msaada kwa watakao ingia
Ila kweli alichofanya hakikubaliki ,yey badala ya kutoa majibu anamcomplains
 
acha kumzihaki mwenzio ww kama hutaki kuchangia kaa kimya tu maana huu uzi utakuepo mpaka miaka 7 ijayo na itakua msaada kwa watakao ingia
Kabisaa, kwa sabab yeye anajiona ndo mwny mamlaka ya kuamua nan wa kuandaa thread na kwa wakat upi, wakati hata uenyekiti wa mtaa hana! Halaf istoshe hana hata hisa ya 1℅ jf, abadilike kiukwel
 
Mmmmmh Kwan we ulipata boom au unaongea tu
 
Boom lina mambo mengi apo semester ikisha umesave hata laki 3 inakua ngumu. Unakuta mda unaongea na home kuna mambo kibao hayajakamilika + plus wewe kijana unaeza kufika chuo unasema ununue nguo hata kadeti za presentation ki ukweli pale ukiwa hupati ela kabisa home utahitaji high commitment na utasave ela chache sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…