jah people
Member
- Feb 17, 2012
- 5
- 0
Inavyoelekea wewe huzijui haki zako, yaani msomi mzima unadhubutu kusema ''acha watunyonye, wakijisikia watatupa hela zetu'' hizo ni fikra mgando, na kwa taarifa yako tupo kwenye hatua za mwisho za kuuanzisha mgomo wenyewe na wewe na waoga wenzako msipogoma kwa hiari yenu kwa maslahi mapana ya wanachuo wa nchi hii basi tutawasaidia kwa kuwachapa bakora mpaka mtakapounga mkono mpango wetu. Wenzetu UDSM na vyuo vingine wamejitaid sana kutetea maslahi yetu kwa kugoma hadi hela ya meals and accomodation ikaongezwa, safari hii ni zamu yetu wanaSAUT kupinga ucheleweshwaji wa mkopo. Uoga wetu ndio umasikini wetu. AMKAwee usitufanye c wajinga hapa, marafiki zetu wengi sana washafukuzwa kimya kimya afu unataka kugoma, acha watunyonye, wakijickia watatupa ela zetu
Vyuo karibia vyote vinafanya huo mchezo.
Ni kweli na hakika ya kuwa wewe (KULUNALILA) ndiye MATABA mwenyewe, ni kweli na hakika kuwa hoja za wadau zimekugusa, ni kweli na hakika umejitaidi kujitetea japo kwa kujibu MASWALI MAZITO kwa HOJA NYEPESI, ni kweli na hakika aliyeshiba hamjui mwenye njaa ndio maana wewe kwa kuwa umeshashiba change za nauli za safari anazokupa Dr kitima huwajali tena wanaSAUT waliyokuchagua, ni kweli na hakina ndiyo maana ulilia infact uliulilia URAIS WA SAUTSO ulipoukosa kwa mara ya kwanza, ni kweli na hakika tulikupigia kura ulipogombea mara ya pili ili kukufariji usije ukadondoka kwa presha kama ungeukosa tena urais uliyokuwa unaulilia, ni kweli na hakika tulifanya kosa kubwa kwa kupiga kura kwa misingi ya huruma, ni kweli na hakika umesahau kuwa SAUT ilishakuwa marais ambao ni mahiri sana zaidi yako, ni kweli na hakika unajidanganya kuwa SAUT haiwezi kupata kiongozi mwingine wa kariba kama yako. Ni kweli na hakika ukirudi tena kwa kujifanya sio wewe na kisha ukaanza kujisafisha hapa janvini, muda si mrefu nitaweka hadharani ufisadi uliyoufanya na mipango yako michafu uliyonayo. Hongera Kulunalila(mataba) kwa kujitokeza na kutoa kejeli kwa waliyokuchagua.
Ile ni mashine nyingineeeeeeeeeeeeeeeee!!!!! alo aloooooooo! Mataba baby wasikusumbue hizo ni kelele za mbu kwenye neti lala zako mwaya unenepe!
Inavyoelekea wewe huzijui haki zako, yaani msomi mzima unadhubutu kusema ''acha watunyonye, wakijisikia watatupa hela zetu'' hizo ni fikra mgando, na kwa taarifa yako tupo kwenye hatua za mwisho za kuuanzisha mgomo wenyewe na wewe na waoga wenzako msipogoma kwa hiari yenu kwa maslahi mapana ya wanachuo wa nchi hii basi tutawasaidia kwa kuwachapa bakora mpaka mtakapounga mkono mpango wetu. Wenzetu UDSM na vyuo vingine wamejitaid sana kutetea maslahi yetu kwa kugoma hadi hela ya meals and accomodation ikaongezwa, safari hii ni zamu yetu wanaSAUT kupinga ucheleweshwaji wa mkopo. Uoga wetu ndio umasikini wetu. AMKA
Hivi nyinyi kwa uelewa wenu mnahisi mataba na Crew yake mtamuweza????:eyebrows:
Shindaneni nae kwa hoja na si fitina mbishe mkatae Mataba ni Rais wenu atatawala atamaliza muda wake atampa mwingine basi!
Chupi yangu inakuhusu nini mbona unadandia treni kwa mbele, yani wewe ni ***** reasoning yako ni kama ya kitimoto, mtu akitetea ukweli manaake kashavuliwa chupi mbona dogo akili yako kama umeme wa Tanesco? usiwe ndezi maana naona fikra zako ni kama simu ya mchina, Ungekuwa na fedha kumzidi Mataba ungeshadadia hela ya bodi, acha kuturusha mkaka, una njaa hapo adi kwenye ukucha, shida za nyumbani kwenu usimletee Mataba for you information... Shutuuu babuuu! huna hadhi hata ya kugusa pindo la chupi yangu, ndezi kama wewe... Mwache mkaka wa watu kama unautaka huo Urais gombea basi sio unakuwa na comments kama jimama la mtaani, vipi wewe? gusa Mataba uone kitu atakufanya, yani wewe ni mbwiga ngenya kabisa hata huna haya, na kwa taarifa yako boti limezama kila mtu ataokoka kwa uwezo wake wa kupiga mbizi, mkaka kaa mbali na mimi usiniambukize ujinga...waache vijana wa SAUTSO wakuongoze maana hauna dira wala mwelekeo, wamekamilika rais, waziri mkuu, spika, mwaziri makatibu na wabunge wao UKWELI NI KWAMBA vijana are really working hard ila mijitu msokuwa na shukrani ndo zenu, Mataba is my good friend nina kibaby changu kingineee humo humo SAUTSO hadi namuoneaga huruma anavofanya kazi wakati anapotakiwa kuwa na mimi unakuta yuko SAUTSO anakuhangaikia wakati huna shukurani nkupashe roho ikuume. ndezi, kaa mbali na chupi yangu siwavulii wajinga, vicheche, msokuwa na plan za maisha, maisha yakiwagonga mnatafuta wa kumlalamikia fanya kazi unalala hapo unategemea hela inapatikana kama kuokoteza matunda ya porini kuna akili, hamna hata nidhamu mnawatukana watumishi wa Mungu kama Kitima, na Mama Nasania wasokuwa na hatia Mtachomwa moto nyinyi, Alex kuendesha range rover inakuhusu nini kama kapewa zawadi ya Birthday... kuna kichwa sio unalalamika tu izo ni tabia za kishoga kuwa kama boy wangu weweee, we kuku nini ntakukaanga, kaa mbali na mimi.
Akili za mwenzako ongezea na zako we kibonge cha pr, toka lini urais wa sautso nao ukawa utawala hadi useme mataba anatutawala, wakati kila siku tunamtuma chai, tunapokosoa na kueleza ukweli siyo kwamba tunahitaji maslahi binafsi kwani wengine hii ndio semester yetu ya mwisho hapa chuoni, but kwa maslahi ya wadogo zetu waliyopo lazima na wajao inatulazimu kukemea uovu wowote bila kujali anayeufanya ni nani.Mataba alikuja mwenyewe hapa janvini kujisafisha tukamshtukia akatoka nduki. Naona ameamua kukutuma wewe kibonge uje umtetee. Anyway mtetee ila usitumie lugha ya taarab kwani unamthalilisha hata huyo unayemtetea
Hahaaaaa!!!! aloalooooo!!!!! kiroho kinawauma, yani the simplest thing to get that you are weak and timid ni wewe kujidai unatetea haki za watu hapa jamii forum huo ni udhaifu kama mwanaume, nani kakwambia me nasoma PR yani wewe ni Kunguru kabisa na utasutwa kwa umbea hii inathibitisha ufinyu wako wa mawazo kama wewe ni mwanaume uliyekamilika unaesimamisha jitokeze basi ueleze kinachokuwasha kwenye majukwaa huru sio kujifichaficha huku, wanaume wamejitokeza wanafanya mambo yao wazi, wewe na akili zako unabisha hutawaliwi na mataba, simply go and check the clear meaning of "rule" and "administration" sijui ulikujaje college,....ukizeeka lazima uwe mchawi kazi kuwakosesha amani wenzenu na mtanikoma labda waniban! maslahi gani kwani kuna nini wamefanya kinyume na maslahi ya umma, no data no right to speak na tena ni Mwanasheria mjie kinyumenyume ubakwe, dont work on hearsay give out facts, nina wasiwasi kama una function.
Nianike kama wewe ni wa kiume! heri me bastard but you are the king of the foolest, nani kajidharirisha huo ndo ukweli huna hadhi!!!! umeajiliwa na chuo bata kama wewe asee kama ni kweli imekula kwao, nakuhakikishia yule sio level yako we ni mtoto sana tena hujitambui angalia reasoning yako na organization ya idea zako too much inferiority we nenda kapewe chomolea makoroboi, vijana wa kazi gani au magenge tu ya wahuni, si mjitokeze peupe kama Mataba na wenzake!!???? shombo walijua shombo weye kinuka jasho weye kikojozi, una-act on hear say yani ***** kweli! magari mamaaaaa! kwa taarifa yako magari nimeyazoea vizuri tu nimezaliwa kwenye familia bora baba, watoto tunalo la pekeyetu babaa!!! tinted ona ulivo na akili kama ya mbuni tinted hadi kwenye bajaji ckuizi babu, Harakati zinaendeshwa mahali pa wazi na wanaume na wanawake wanaojitambua na kujiamini kama Nyerere, Ghandi, Mandela, lakini sio kama wewe na mbwiga na ndezi wenzio, tuko na starehe zetu unatueleza shida zako za nini, SAUTSO oyeeeeee!!!!!!!!!!!