BOOM Halitoshi Kununua Computer

Hela ya boom inatosha sana ukiamua kuishi maisha ya kawaida!
 
60,000 kwa mwezi kwa kula???..chakula gani hicho??..it means ulikuwa ukula 2000 kwa siku
 
60,000 kwa mwezi kwa kula???..chakula gani hicho??..it means ulikuwa ukula 2000 kwa siku
ugali na mboga saba
-dagaa kidogo
-nyama na mchuzi wake
-mboga za majani
-bamia
-maharage
-nyanya chungu na vitu kama biringanya
-ipo mboga ya saba nimeisahau.

Plate nzima ilikuwa inauzwa buku, na usiku ulikuwa una option ya chapati 3 na supu kwa buku hilo hilo ama sahani ya wali.

Kwa waliosoma humanities 5 years ago watanisaidia.

Kuna watu walikuwa wakipata boom tu wanapeleka 120,000 kwa mama ntilie na inayobaki inaishia kwenye pombe ndani ya wiki moja tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…