#TGIF , Weekend hii hapa, pilika pilika za wiki zafikia ukingoni na tunapumzika , Muda unao kwanini usiangalie Movie kali ya "NAMBACHA" . Movie inaelezea ujasiri wa kijana mmoja kutetea haki za wanyonge fuatilia kwa umakini kuielewa Bofya Link zifuatazo kuitazama.
Part 1 :
Part 2 :
Usisahau ku-like,ku-comment, ku-share na ku-Subscribe. #AFRICANMOVIES2018#TANZANIAMOVIES2018#BONGOMOVIES2018#FILAMUMPYAZAKIBONGO2018#SWAHILIMOVIES2018