Bongo movie vs Zari

Bongo movie vs Zari

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,939
Reaction score
600
Wakati Bongomovies munapiga dili CCM Zari alikaa kimya akatafakari akaanzisha WHITEPART akapata kuishi. Leo hii Zari amepiga dili nanyie mukae kimya au Muanzishe GREENPART muweze kuishi.

Munatakiwa kujua kutesa kwa zamu. Kuna msimu wa maembe na maepo. Msimu wenu wa maembe uliisha sasahivi in msimu wa maepo. Tulizeni mshono.
 
Back
Top Bottom