Bongo movi acheni kutumikia siasa.. Mjikiti kwenye ubunifu

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Aug 3, 2012
602
2,505
BONGO MOVIE :

UTAJUAJE KUWA UNACHOKIANGALIA NI FILAMU YA KIBONGO?
-Mtu yupo kijijini, maisha magumu ana Wave kichwani.
-Kama bosi atakuwa na kampuni basi ni lazima itakuwa ya Clearing and Forwading au ya uuzaji Magari.
-Lazima waende Kununua nguo.
-Jambazi lazima avae koti lefu jeusi na
Miwani.
-Mtu akichapwa kofi huangukia kwenye
kochi ama kitandani.
-Actress huwa hawapiki hata chai.
-Kwa mdada akiishi maisha ya kitajiri
lazima avae nguo inayoishia mapajani.
-Actress even after 5 yeas utakuta staili
ya nywele na rangi za kucha ni zile zile.
-Anaweka Sumu alafu anaonja kama
imekolea.
-Movie zote wapenzi huitana Baby..
-Main actor wote ni wafanya biashara na
lazima wataongelea mizigo kutoka
bandarini.
-Wakinywa Soda basi lazima wabakishe.

*Bongo movie bhana akili sawa na Bashite*
 
Hila kauli zingine za mkuu mkoa ni shida achilia mbali sanaa kukosa ubunifu; hivi anajua hata gharama za kupata distribution copy rights kwa njia halali na kama kweli machinga wataziweza. Hatua zingine ni kuwapa watu umaskini bila ya sababu kwa nchi isiyotoa ajira kuna wanasiasa wakishashiba wanasahau haraka sana shida za wenzao kisa cheap politics.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom