kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro'RPC' Faustine Shilogile akiwapiga picha wananchi wanaovuka mto Mkundi baada ya daraja la mto huo lililopo Tarafa ya Dumila Wilaya ya Kilosa kukatwa na mafuriko
Wananchi wakivuka mto Mkundi
RPC Shilogile akiendela na kazi hiyo ya upararazi huku akishuhudia na Bodigadi wake
Akiziangalia picha alizopiga kupitia kamera ya simu yake ya kisasa KAMANDA wa Polisi mkoa wa Morogoro Faustine Shilogile juzi alinaswa na kamera za Mtandao huu akiwa bize na kazi ya upaparazi akipiga picha matukio yaliyojiri kwenye mafuriko yaliyotokea januari 22 Tarafa ya Dumila Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro Picha na Dustan Shekidele,Morogoro
ww hii picha ya zaman sana hii kwanza mpaka leo hii Faustine Shilogile yupo makao makuu kitengo cha upelelez tangu kama wa 5 leo ww unatuambia amepiga picha juzi