Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
Jcb vs chindo man... nahisi chindo ndo greatest story tellerKuna mtu anaitwa Jcb ndo kingi wa storyteller kwenye hiphop jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuelezea mada hua hatoki nje ya mada kwenye ngoma zake....JCBalbam....ukisikia paah paah ujue ekukosa noma sanaaaa
JCB ft jose mtambo ......hii ndo ingekua ngoma yangu pendwa San kama wangefanya
Ukiacha mlango wazo washikaji zako ndo wezi ##jmtamb
Chindo yupo vizur ila kwangu naona jamaa kampiku chindo cos hua hatok nje ya mada akisema anaelezea pombe ujue mpka line ya mwisho.......Jcb vs chindo man... nahisi chindo ndo greatest story teller
Em ntajie ngoma moja ya jcb great story telling nizame utube nw.. achana na paahChindo yupo vizur ila kwangu naona jamaa kampiku chindo cos hua hatok nje ya mada akisema anaelezea pombe ujue mpka line ya mwisho.......
Kizaa zaa mzoo mzoooEbhana kuna wimbo wa kitambo kidogo ulikua unahusu ukimwi siujui jina na sio mfuatiliaji wa hiphop na bongo old ila wimbo huo ukianza unasema ilikua ni saa kumi nambili kasoro roboo maneno mengine siyajui maana nilisikia redioni ila ni wimbo fulani wa kuhamasisha watu kuwa makini na janga la ukimwi mwenye kuujua anijuze jina niudownload au niutafute kwenye library za miziki na
Joh wa enzi hizo.. natilia mkazo hapoFiq Q na John Makini wa enzi hio.
Unaitwa ( kazeze wa Ocg )Ebhana kuna wimbo wa kitambo kidogo ulikua unahusu ukimwi siujui jina na sio mfuatiliaji wa hiphop na bongo old ila wimbo huo ukianza unasema ilikua ni saa kumi nambili kasoro roboo maneno mengine siyajui maana nilisikia redioni ila ni wimbo fulani wa kuhamasisha watu kuwa makini na janga la ukimwi mwenye kuujua anijuze jina niudownload au niutafute kwenye library za miziki na movies
Nashukuru sana nduguUnaitwa ( kazeze wa Ocg )
Asee nimeshaushusha hapa nacheka sana zamani watu walijua sana kutunga mistari😂😂😂😂😂😂Unaitwa ( kazeze wa Ocg )
Kwangu mimi namkubali sana Nikki mbishi kwenye storytelling.Kuna mtu anaitwa Jcb ndo kingi wa storyteller kwenye hiphop jamaa anauwezo mkubwa sana wa kuelezea mada hua hatoki nje ya mada kwenye ngoma zake....JCBalbam....ukisikia paah paah ujue ekukosa noma sanaaaa
JCB ft jose mtambo ......hii ndo ingekua ngoma yangu pendwa San kama wangefanya
Ukiacha mlango wazo washikaji zako ndo wezi ##jmtamb
Yah nikki pia anajua sana story telling.. ana ngoma flani hv inaitwa sikujua kama... chorus yuko dem flani hivi makiji sanaKwangu mimi namkubali sana Nikki mbishi kwenye storytelling.
Track kama Nimezama, Playboy na kijusi ni utunzi makini sana. Zote ni story za kusadikika. Mpangilio wa mashairi, midundo, mitambao na Ujumbe ni classic. Mf, Nimezama inavyoanza na inavyoishia ni bonge la catch! Unafikiri story itaisha hivi kumbe inaisha vile. Pia ujumbe wa kuwa the grass is not always greener on the other side. Unaweza ukahustle na mwishowe ukaishia ngome badala ya mafanikio. Inabidi umakini uzidi kwenye hustle zetu.
Nafikiri mchoraji anayechora picha nzuri kutoka akilini kwake ni bora zaidi kuliko yule anayenakili picha iliyopigwa na kamera.
Wa Sasa hv ni sembe ,sio Dona.Joh wa enzi hizo.. natilia mkazo hapo
Una ft Ngwea na black rhinoProf. Jay na Mangwair..
kama ingetokea wakafanya kolabo nahisi ingekua babkubwa..
Au kama ipo nikumbushe