Gabriel Junior
Member
- May 7, 2019
- 19
- 18
Uko serious kabisa unamuweka huyo mpaka wanja wako country boy eti mwanahiphopHip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop
" wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva wanaendesha tu magari wenzio wa kufoka foka tutaonana mwisho wa safari, kwanza mavazi yenu mtaani mnaonekana wezi, kila siku kupigana, hip hop ni uhuni, nafananisha na mke mzuri lakin hazai ".
Wasanii wengi bongo wa hip hop ni maskini ni kweli madee alisema japo wana hip hop mtakataa!!
Mfano: Young killer , country boy, stamina , roma , Nick mbishi, hawa wangekuw MTONI wangetengeneza mkwanja wa kutosha ila sababu ni bongo ni mizinguo 2 huwez kuwalinganisha na wabana pua bongo
Dah mkuu tutake radhi wana real hip hop mtoe stamina, young killer, country hawa ni wana mitindo tu sio real hip hop weka kina dizasta, p the mc , yaan i mean weka tamaduni yoteHip hop hailipi kuna wimbo aliimba Madee miaka ya nyuma kidogo. Moja ya mistari mikali sana alichana kwa wana hip hop
" wote wanaoshiriki bora waache wauze pipi, tucheki bongo fleva wanaendesha tu magari wenzio wa kufoka foka tutaonana mwisho wa safari, kwanza mavazi yenu mtaani mnaonekana wezi, kila siku kupigana, hip hop ni uhuni, nafananisha na mke mzuri lakin hazai ".
Wasanii wengi bongo wa hip hop ni maskini ni kweli madee alisema japo wana hip hop mtakataa!!
Mfano: Young killer , country boy, stamina , roma , Nick mbishi, hawa wangekuw MTONI wangetengeneza mkwanja wa kutosha ila sababu ni bongo ni mizinguo 2 huwez kuwalinganisha na wabana pua bongo
Nimestuka sana kusoma huu uzi nimegundua bado kuna watu wanashindwa kutofautisha hip hop rappers na mumble rappersUko serious kabisa unamuweka huyo mpaka wanja wako country boy eti mwanahiphop