Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,412
- 8,560
Huyo ruby wahuni wamekifunua sana hapo kinondoni kwasababu ya ulevi wake.Hizo story sio mpya
Rose muhando ashasema free kabisa kuwa alifanyishwa uharamu na kuvutishwa madawa
Lady Jay Dee ashasema wasanii wa kike wengi bila kutoa ngono hufiki popote na akaongezea watu wamshikilie ruby maana vita ni kali..
Wasanii wengi pia mfano Jay Melody, Gigy money washakili kwenda kwa waganga baada ya kushauriwa kutoka kimuziki au wamepigwa ndumba
Entertainment business kiuhalisia imejaa ushetani mwingi sana, ngono, ulevi, ushirikina etc
Lakini haimaanishi kila aliyemo anafanya mfano hao wasanii ulikuwa unawasimamia WEWE, wewe ndiye uliyekuwa unawapa support. Chochote walichokiamua walikiamua WAO maana wengi hupitishwa kwenye ujinga mwingi ili wapate support.
Kama wewe umeshawapa, the rest ilikuwa ni juu yao maana huwezi ku acha kufanya kitu kwa sababu wengine wanafanya vibaya haswa ukipewa support..
Tafuta vijana wengine wenye njaa, hao hawakujizatiti tu. Wana vipaji Ila ambition hawana
Sasa hv wanatoboa pua na vitovu na nyusi..yaani upinde mwanzo mwishoHilo la kuliwa tigo liko wazi kabisa ila ni kwa wasanii waliopandishwa stage za juu .
Hujiulizi mwanaume ujasiri wa kuvaa hereni anautoa wapi kama si upinde.
Mganga ni dalali (mtu kati) tu kati ya shetani na mtu anayetaka huo utajiri/umaarufu. Ila masharti yake ni mazito wengi wanavuma kidogo kisha wanachemka kutekeleza masharti ya shetani ndio hupotea kwenye gameMganga ni agent kati yako na shetani ata yeye akitaka utajiri anafuata masharti wapo waganga matajiri wapo wengi tu ata mume wa zari alikuwa mganga
Sasa na wewe uchawi wa mzungu upo hadhari kabisa wee huoni? Sii ndalama mwanawane kuna uchawi zaidi ya huo mzeeya?hakuna hizo habari uchawi! kama ulishawahi kushuhudia toa ushahidi hapa
Nikuwasokomozea mihogozi tuu hamna namnaSasa hv wanatoboa pua na vitovu na nyusi..yaani upinde mwanzo mwisho
Kwanza angetusimulia tu yule chinga mkipishana jiandae file lako kuwekwa hadharaniKwamba Domo alitaka kumla 💩 Mavokali😂😂😂😂😂😂.
Najua haiwezi kuwa Chinga maana pangechimbika. Yeye mwenyewe anapenda kimba halafu umuombe kimba tena😂😂
Hawa watu wengine wanatuchanganya sana ebu moderator ongezeni sauti hiyo nyimbo ya kwangwaru alafu ijirudie rudie tafadhali..!Salaam!
Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti kwanza nikawapa nyumba ya kuishi tegeta ni ya kaka yangu yuko nje na huwa hataki ipangishwe ,nikawapiga bajeti ya viwalo na kuwaunga kwa master mmoja awanoe ukweli sikuwa na haraka niliwaweka kambi 5 months nalipia kila kitu nkawalipia na gym (ni muhimu kwa masauti) wa kwanza nikamtoa ana kawimbo maarufu staki mkajue kalipata youtube viewers laki 5 bila kuhonga .
ili kuokoa muda dogo alianza ulevi kiburi mpaka sasa ni teja 100%,sikukata tamaa nikajikita kwa huyu wa pili maana ndo anakipaji mboso anasubiri,huyu dogo kuna siku ghafla alinambia kaka naomba tukae kikao nikuambie ukweli.
Nilichoka akanieleza kaka narudia uislamu wangu ananiambia kama unataka umuone shetani live nenda kwenye bongofleva yaani hakuna narudia HAKUNA asie mshirikina yaani wanalala kwa waganga masharti wanayopewa:
1. kulala na mama zao wazazi
2.kuliwa tigo ,yaani hii 80% ya wote wanaliwa ,ipo lebo msanii mmoja alijitoa na hasira juu ni mweusi jamaa alikataa kuliwa na mwenye lebo,mpaka nikaelewa kumbe P DIDDY sio kuwa alikuwa anawakomoa au anawatamani ni masherti ya ili uwe maarufu na ushine .
3.Kukataliwa kuoa ,tunajiuliza mbona vijana wa mziki wanakimbia ndoa kumbe wanapewa mke wa kijini kwanza ambae sharti lake lazima ulale nae yeye kwa hiyo hata hao wapenzi hawaishi nao wanakaa wenyewe .
4.Hata yule msanii wangu wa kwanza ni kwamba wamemuibia nyota alizubaa
UJUMBE KWA WAZAZI
Kataa mwanao asijihusishe na bongo flava aidha kibaya sana ni kwamba mpaka waimbaji wa injili nao wanakesha kwa waganga ,mmoja kijana anapanki yeye kaambiwa lazima ale jicho mtu kila siku flani ya wiki mpya yaani anateseka sana kasha zurura na malaya wote ,pia na yeye lazima agongwe ukitajiwa na alivo na mziki wa baraka huwezi amini,sasa nimeamini waislamu kuwa MUZIKI NI KHARAMU
Upinde mchana kweupe.Sasa hv wanatoboa pua na vitovu na nyusi..yaani upinde mwanzo mwisho
Na Kwahiyo M.L.D wamekubali..??Kwamba Domo alitaka kumla 💩 Mavokali😂😂😂😂😂😂.
Najua haiwezi kuwa Chinga maana pangechimbika. Yeye mwenyewe anapenda kimba halafu umuombe kimba tena😂😂
hata kama umetunga story hiyo number mbili ni ukweli mtupu asilimia 100 ya wasanii wakiume wamepoteza marinda.
hawa waganga hua wanawambia ukitafunwa unabeba nyota.
Hizo nyimbo sio nzuri kabisa kwa watoto huwa nashangaa nikiona mama anawachezesha mtoto wakeBongo fleva wote ni wachawi tu, nashangaa watu wanaopenda kusikiliza muziki huo
Hii ni sawa na kuuliza mbona ma daktari na wao wanaugua na kufa?Hao waganga mbona wao wanashindwa kutumia huo uganga wao kuwa na maisha bora?
Au hao waganga ni kina nani?
Je ni waganga hawahawa wa kibongo bongo wenye maisha ya kuunga unga?
Aidha uchague upande wa Shetani au Luciffer ila jua tu uchomoki. Ukisimama nchale ukiinama nchale.Sehemu zote zenye maokoto haya mambo ya kishetani yapo sana, inabaki kwako kuchagua upande eidha wa Mungu au Lucifer.
Ruby ni kama kaanza kulost. Mungu amsaidieHuyo ruby wahuni wamekifunua sana hapo kinondoni kwasababu ya ulevi wake.
Wewe unawaonaje kwani???Na Kwahiyo M.L.D wamekubali..??