Kwamba Domo alitaka kumla 💩 Mavokali😂😂😂😂😂😂.ipo lebo msanii mmoja alijitoa na hasira juu ni mweusi jamaa alikataa kuliwa na mwenye lebo,
Kabisa mkuu, mengi wanayosema hayana tofauti na tunayoyasikia kwenye siasa, biashara na wengine wanayafanya hata maofisini.Sehemu zote zenye maokoto haya mambo ya kishetani yapo sana, inabaki kwako kuchagua upande eidha wa Mungu au Lucifer.
Kumbe ndio maana kafuata lile takoooooKwamba Domo alitaka kumla 💩 Mavokali😂😂😂😂😂😂.
Najua haiwezi kuwa Chinga maana pangechimbika. Yeye mwenyewe anapenda kimba halafu umuombe kimba tena😂😂
Wee ulishaona uchawi wa mzungu ulivyo na nguvu? Wa mwafrika cha mtotouzwazwa tu sasa kuliwa tigo kuna uhusiano gani nakufanikiwa..? wabongo wengi akili ni hakuna mtu anabebwa nakipaji chake,utiifu,umakini na jitihada.
ushirikina ni dhana potofu mno lkn kuna vijinga bado vimeshikilia ushirikina!.. huo ushirikina ulishamsaidia nini muafrika mpk akizidi maendeleo wazungu..?
waafrika tumekaa kizembe sana!.
hakuna hizo habari uchawi! kama ulishawahi kushuhudia toa ushahidi hapaWee ulishaona uchawi wa mzungu ulivyo na nguvu? Wa mwafrika cha mtoto
Hao waganga mbona wao wanashindwa kutumia huo uganga wao kuwa na maisha bora?Hizo story sio mpya
Rose muhando ashasema free kabisa kuwa alifanyishwa uharamu na kuvutishwa madawa
Lady Jay Dee ashasema wasanii wa kike wengi bila kutoa ngono hufiki popote na akaongezea watu wamshikilie ruby maana vita ni kali..
Wasanii wengi pia mfano Jay Melody, Gigy money washakili kwenda kwa waganga baada ya kushauriwa kutoka kimuziki au wamepigwa ndumba
Entertainment business kiuhalisia imejaa ushetani mwingi sana, ngono, ulevi, ushirikina etc
Lakini haimaanishi kila aliyemo anafanya mfano hao wasanii ulikuwa unawasimamia WEWE, wewe ndiye uliyekuwa unawapa support. Chochote walichokiamua walikiamua WAO maana wengi hupitishwa kwenye ujinga mwingi ili wapate support.
Kama wewe umeshawapa, the rest ilikuwa ni juu yao maana huwezi ku acha kufanya kitu kwa sababu wengine wanafanya vibaya haswa ukipewa support..
Tafuta vijana wengine wenye njaa, hao hawakujizatiti tu. Wana vipaji Ila ambition hawana
Sio chai huo ndio ukweli Mungu hawezi kuonekana kwenye uchafu wa muziki wa kidunia Kuna sadaka wanazitoa Hawa madogo sio kazi rahisi kuona kijana mdogo anamiliki mali nyingi hivyo wanazomiliki Hawa vijana wa bongoflevambona kama chai
Mimi nakataa kabisa hii dhana.uzwazwa tu sasa kuliwa tigo kuna uhusiano gani nakufanikiwa..? wabongo wengi akili ni hakuna mtu anabebwa nakipaji chake,utiifu,umakini na jitihada.
ushirikina ni dhana potofu mno lkn kuna vijinga bado vimeshikilia ushirikina!.. huo ushirikina ulishamsaidia nini muafrika mpk akizidi maendeleo wazungu..?
waafrika tumekaa kizembe sana!.