Bongo fleva kitambo

Joined
Dec 18, 2015
Posts
22
Reaction score
12
Muda umeenda Sana ukilinganisha na kule mziki Wa Bongo fleva ulipotoka nafikiri mziki umekua kiasi kuelekea kule lengo linapoitajika.. Kwa wewe Ni nyimbo gani unazikumbuka na haziwezi potea kichwani mwako unaweza uka share hapa hivo tukapata ladha za kitambo
 
Hizi thread nafkiri zipo nyingi za aina hii, kuna thread inamzungumzia P.Funk Majani, ipo nyingine ya Mika Carly Mwamba, ipo nyingine ni wimbo gani unaoutafuta sana bila ya mafanikio.

Ukiingia kwenye hizo nyuzi utapata maudhui kama haya akiyasimamia kwa ukaribu zaidi mkuu KIOO.

 
Hahahahah thread closed...!

Tafuta topic nyingine ya kuanzisha ariiiif. Karibu sana JF jombaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…