Bonge la Zari aisee

chuo cha udom saiz wamefunga hakuna wanafunzi....yy katokea udom ya wapi?
 
Nimeona ID mkuu so najua ninachosema

Pale mbeya carnival kuna malaya wana Id fake za chuo cha uhasibu (TIA),kaa chonjo ndugu yangu.
Umewasahau wale unakutana nao njiani mdada mzuri anasema kapoteza pochi anaomba nauli..sasa hao wamekuja na hiyo mpya..yani mimi muhehe nipo iringa huku nakushinda ujanja,allaaahhh
 
we jamaa una wivu kinoma yaani malaya asiniombe hela atoe huduma bure siku3???
 

Ukapime na ukimaliza uje utupe results hapa
 
Nazani yeye ndo amekuweza ukiangalia tu jinsi ulivyokutana nae sujui ulipata wapi ujasiri wa kulala nae tena kwako...!
Anyway chuo bado kimefungwa sijui UDOM ipi umeambiwa??
 
Nazani yeye ndo amekuweza ukiangalia tu jinsi ulivyokutana nae sujui ulipata wapi ujasiri wa kulala nae tena kwako...!
Anyway chuo bado kimefungwa sijui UDOM ipi umeambiwa??
Mkuu kwa umri wangu siwezi kuwezwa na mtu ambaye ana ID na sijampa hata nauli ya kwenda kwao, sa kaniuzia nini??
 
Mjini wanawake ni wabunifu Sana. Natabiri, ulimpa nauli ya Dar to Dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…