Kama ilivyokawaida yangu yazungukia mitandao mbalimbali siku ya Jmos,nikakutana na habari hii "Lord Eyez akamatwa kwa kuiba vifaa vya gari ya Ommy dimpoz".Pia kukiwa na tweet ya huyo bwana mdogo kulala mmika kuibiwa na kuvifuma
vitu alivyo ibiwa kwa kamanda kutoka weusi Company
Vifaa vilivyo ibwa ni pamoja na Power window.Katika msara huu inaonyesha Lord Eyez ndio King kunaviajana wake anawatuma kufanya hiyo kazi.
mtandao wao kuna dada ambaye ndio driver na wanatumia gari dogo jeupe together na msela wake anaitwa Shukuru..Lord Eyez ameamua kuwa mwizi anaiba sana pale mlimani city pia wameshawahi iba silaha kwenye magari yaliyopaki pale.
acheni waibe..hakuna wanachokipata ki-maslahi kwenye hiyo miziki yao wanayoimba..kwa hiyo wanaongeza kipato cha ziada...huyo aliyeibiwa mwenyewe gari kahongwa na mke wa mtu kaaaaziiiii kwelikweliiii. BONGO-FLEVAAAAAAAAAAAAAAA.