Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,801 Sep 5, 2012 #1 Ni aliyekuwa bingwa wa kimataifa kwa upande wa akina mama,amepatwa na mruko wa akili kutokana na ugumu wa maisha!
Ni aliyekuwa bingwa wa kimataifa kwa upande wa akina mama,amepatwa na mruko wa akili kutokana na ugumu wa maisha!
K Kiumbo JF-Expert Member Joined Feb 4, 2012 Posts 560 Reaction score 123 Sep 5, 2012 #2 Nimepata hii taarifa ikiishia kwa citizen. Eti ugumu wa maisha sio ngumi bomy.
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,599 Reaction score 1,801 Sep 5, 2012 Thread starter #3 Kiumbo said: Nimepata hii taarifa ikiishia kwa citizen. Eti ugumu wa maisha sio ngumi bomy. Click to expand... Mh! inawezekana maana nilivyomuona hali yake inaonekana kama maisha yamemchapa!
Kiumbo said: Nimepata hii taarifa ikiishia kwa citizen. Eti ugumu wa maisha sio ngumi bomy. Click to expand... Mh! inawezekana maana nilivyomuona hali yake inaonekana kama maisha yamemchapa!