Bomu Lalipuka Zanzibar na Kuzua Taharuki

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,258
source itv

20160304_200232[1].jpg
 
ni wapi Bomu halikuwahi kuzua taharuki?...leta habari iliyo kamili

Mashuhuda wanasema waliona gari likielekea maeneo hayo na kuna kitu kiliwekwa.. hawakusoma hata namba za gari baadae mlipuko ukatokea hao watu wanadhaniwa ndio wametega na wale wananchi hawakuweza kudhani kama hilo gari na hao watu waliovalia kanzu na vitambaa kichwani wamefika eneo hilo kutega bomu.

Hakuna alieumia.. kufariki na hilo kontena lilikua halina hata kitu cha maana ndani
 
Ahsante sana...umesema vyema!
 
Vizuri Zanzibar wameweka Camera kali kabisa na za kisasa mji wote wa Zanzibar ikiwemo hilo eneo la michenzani.
Camera hizo zinaambiwa zina uwezo wa kuvuta hadi kilomita moja.
hivyo msema kweli yupo....mara hii kwa mjini hakuna sababu za kuonea watu bure...watoe tu recodi ya hio video...wakisema camera mbovu basi wameweka wenyewe kisonge wasisumbue watu
 
asante sana kwa udadavuzi
Mashuhuda wanasema waliona gari likielekea maeneo hayo na kuna kitu kiliwekwa.. hawakusoma hata namba za gari baadae mlipuko ukatokea hao watu wanadhaniwa ndio wametega na wale wananchi hawakuweza kudhani kama hilo gari na hao watu waliovalia kanzu na vitambaa kichwani wamefika eneo hilo kutega bomu.

Hakuna alieumia.. kufariki na hilo kontena lilikua halina hata kitu cha maana ndani
 
Ma... tu hayo na siasa zao chafu, eti yakaweka kwenye kontena la chama ch.. ili ionekane ....
 
Shuhuda amesema wanoshikiwa kulipua wamevaa KANZU NA VILEMBA!
 
CCM katika visa vyao vya kubuni...teh teh teh mbona hizo za zamani sana?

Msipokuja kuwapa wazanzibari haki yao ndio watafanya uhalisia na sio hivyo visa.
 
Back
Top Bottom