Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,908
- 2,478
Barua kwa Mheshimiwa Raisi Magufuli tunakushukuru kwa jitihada zako kubwa za kuwasaidia wanainchi wa Tanzania lakini kuna baadhi ya mambo unayafanya bila ya hekima, labda kwa sababu ya shauku kubwa ya kuipenda inchi yako na kutaka kuikoa nchi yako (Muheshimiwa Raisi hata kama nyumba hizo zimejengwa kinyume na sheria, ukiwabomolea nyumba zao hao watu wataenda wapi kuishi? hao ni wanainchi wako, wape basi hata nyumba za caravan (badala ya nyumba ulizowabomolea) wapeleke sehemu unayetaka wewe waishi (Hao ni wanainchi wako tena utazikuta ni familia kamili mpaka watoto wadogo wamo).
Kuna mtoto mmoja nilimuona kwenye tv baada ya nyumba yao kubomolewa kanitia uchungu sana, mtoto alikuwa analia, reporter akamuuliza kwa nini unalia? , mtoto huyo akajibu.
"WAMETUBOMOLEA NYUMBA YETU, TUTALALA WAPI LEO"
Kuna inchi moja inaitwa Oman yaliwahi kutokea yanayo fanana na bomoabomoa, kuna baadhi ya waomani waliotoka africa walijenga nyumba zao za plywood kinyume na sheria.
Serekali ikawapa warning lakini hawakusikia, kisha serekali ikawajengea nyumba za Caravan pembeni kidodo ya mji mkuu Muscat (kisha ikawabomolea nyumba zao na kuwahamisha mji mpya uliojengwa kwa ma caravan tu) nyumba na ardhi hizo mpya zikawa za kwao (kila mmoja akaanza ku modify nyumba yake polepole kufuatana na uwezo wake).
Sasa ma caravan yote yameisha, kila moja kajenga nyumba yake, Mji huo unaitwa Madinat Anahdha.

Last edited: