simbamzeewamwakidila JF-Expert Member Joined May 4, 2013 Posts 1,447 Reaction score 379 Oct 28, 2016 #21 Sasa mwenyewe umeandika tanroads Siasa inaingiaje
Hebrew JF-Expert Member Joined Jul 3, 2008 Posts 562 Reaction score 171 Oct 28, 2016 #22 Mudawote said: Chama mfu chadema walidhani kuipa serikali makaripio watainyoosha kumbe wao ndiyo wanatakiwa wanyooke Click to expand... Kwa hivyo unasema bomoa bomoa inafanyika kisiasa zaidi na si kisheria. Jamani tuache sheria zifanye kazi zake .
Mudawote said: Chama mfu chadema walidhani kuipa serikali makaripio watainyoosha kumbe wao ndiyo wanatakiwa wanyooke Click to expand... Kwa hivyo unasema bomoa bomoa inafanyika kisiasa zaidi na si kisheria. Jamani tuache sheria zifanye kazi zake .
kwasamangube Member Joined May 31, 2016 Posts 24 Reaction score 6 Oct 28, 2016 #23 PakavuNateleza said: Hivi mtu nyumba imepigwa X kubwa wewe unaenda kupangisha fremu halafu ikivunjwa unalalamika. That is insane Click to expand... unajua uliongealo au unakukupuka tu? Mkwe21 said: Tuache siasa Jamani Ili eneo liwe na hadhi Barabara ni Muhimu!! Sasa watu wamejenga hadi kwenye ukingo wa barabara hii ni hatari? Tufike Mahali tuseme sasa hii basi!! Na watu waheshimu sheria bila kusuguana na mamlaka husika! Click to expand... ww unaonyesha ni zaidi ya mahakama au ujui kusoma
PakavuNateleza said: Hivi mtu nyumba imepigwa X kubwa wewe unaenda kupangisha fremu halafu ikivunjwa unalalamika. That is insane Click to expand... unajua uliongealo au unakukupuka tu? Mkwe21 said: Tuache siasa Jamani Ili eneo liwe na hadhi Barabara ni Muhimu!! Sasa watu wamejenga hadi kwenye ukingo wa barabara hii ni hatari? Tufike Mahali tuseme sasa hii basi!! Na watu waheshimu sheria bila kusuguana na mamlaka husika! Click to expand... ww unaonyesha ni zaidi ya mahakama au ujui kusoma