Bomoa bomoa Kimara Mbezi: Serikali mtuonee Huruma

Mr Makunduchi

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
995
Reaction score
492
Wadau habari zenu nisiwachoshe mojakwamoja kwenye mada sisi ni wahanga tumevunjiwa nyumba zetu bila ya malipo uku Kimara Mbezi.

Sasa chakushangaza kabla ya bomoa bomoa, Serikari ilitoa agizo tukalipie kodi ya majengo zoezi la kulipia limeisha.

Sasa mmetuvunjia nyumba zetu izo tulizozilipia kodi ya majengo, sasa kama ni hivyo kwanini mlichukuwa pesa zetu wakazi wa Kimara Mbezi kama si utapeli
 
Poleni..lengo ni kufikia na kuvuka ukusanyaji wa mapato ya kodi za ndani..ili tupate sifa zisizo na mantiki huku mapato tajwa hayamnufaishi MTU yeyote! stupid zao
 
Ndo maana mimi nilikataa,nyumba silipi mpaka waje wapime.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…