prezdesho
Senior Member
- Dec 30, 2015
- 150
- 78
Kimsingi hakuna mwenye nyumba bondeni halafu awe na hati ya kiwanja.Nyumba zote bondeni viwanja vyake havina hati
Zipo chache viwanja vyake vinahati ila hati hizo unakuta kahonga afsa ardhi kapewe ila nakala ya pili inayobaki haipo namba ya hati ukiitafuta haipo hawa tunasema wanahati ila wametapeliwa
Katika kesi ya msingi ambayo tunatarajiwa kusikilizwa jumatatu upande wa malalamiko umeambiwa upeleke ushahidi na vielelezo ili kuthibitika kwamba kweli eneonilake hivyo ukimbomolea mpatie na eneo mbadala....Hapo ndipo kasheshe litakuja
Ndiyo maana ninasema mnachelewesha ila kimsingi mtabomolewa tu.
Wapo watu wanasema ufanyike ubinadamu.ubinadamu upi sasa tangu mwaka 2013 mnaambiwa hama hamtaki 2014 mafuriko yaka wakumba mkasema serikali haitusaidii haya mkasaidiwa misaada ya kibinadamu na baadhi hasa wale wa jangwani wakapewa viwanja,mabati na cement wachache wakahama wengi wakabaki
Tokea wakati huo sheria zilikuwepo nawangetaka wakafanya ila mkapewa muda bado hakuna aliyejitokeza eiza kwa maandishi au kwa mdomo kuomba eneo ili ahame ila sasa hivi sheria inafuata mkondo wake mnaona watu wabaya....
Inaumakuvunjiwa nyumba ila ifikesehemu tusiombe ubinadamu bila kukubali kwanza umetenda kosa halafu kutokujua kosa ni sehemu ya kutenda kosa