Bombardier new model

MICHUTZ

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
271
Reaction score
533
Nchini Uganda Imenunua ndege mpya aina Ya Bombardier new model inamaanisha Ya Tz ni old model Cheki haina Hata Panga boi kama Ya anko magu
 
Sisi mi mpya zaidi coz ni ilibadilishwa na kuwa airbus. Alaf hao bombadier wana ndege za aina nyingi ni sawa na toyota. Wanarange ya magari tofauti kulingana na uhitaji wako.
 
Nchini Uganda Imenunua ndege mpya aina Ya Bombardier new model inamaanisha Ya Tz ni old model Cheki haina Hata Panga boi kama Ya anko maguView attachment 1079138View attachment 1079139View attachment 1079141
Kweli wewe mshamba kabisa. Yaani mtu akinunua Brand New Toyota Land Cruiser GXL 5-door wagon na mtu mwingine akanunua Brand New Toyota Land Cruiser VX wagon yaani aliyenunua VX wagon ndiye amenunu mpya na aliyenunua GXL 5- door wagon ndiyo old model. Mbona sasa Land Cruiser zote nilizozitaja hapo juu ni brand new kwa sasa. Utofauti was kitu sio upya. Sasa Tanzania imenunua Brand New Bombardier Q300 na Q400 zinafahamika kama Bombardier Dash-8 ndege hizi zinatumia TURBOPROP engine ambazo zinatumia speed ya 360 kts na tumezipokea kutoka Kiwandani Canada. Uganda wamenunua Bombardier CRJ900 ndege hizi zinatumia JET engine ambazo zina speed ya 447kts. Uganda sio mara yao ya kwanza kuwa na ndege za Bombardier walishatumia Bombardier CRJ200 hapo mwanzo. Hivyo kampuni moja lakini ndege tofauti kama ilivyo kampuni ya magari ya Toyota.
 
mshamba katika ubora wangu
 
Zito alisema tuliuziwa mtumba ulionunuliwa na one of balkan state halafu wakaurudisha sisi tukaubeba
 
Zote ni Bomberdia ila Models ni tofauti. Zetu ni Bomberdia CQ400 za Uganda ni Bomberdia CRJ900. Ndege za Uganda CRJ 900 ni Dola Mil 46, Zetu ni Dola Mil 32. Za Uganda zina Jet Engines zetu ni Turbo Prop (Pangaboi) Nadhani mtakuwa mmeelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…