Boma linauzwa Mbezi Msakuzi

Sonship

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2021
Posts
326
Reaction score
401
Boma la vyumba 2 Linauzwa Mbezi Msakuzi ni mwendo wa dk 3 kwa miguu kutoka kituo cha mwisho wa hiace zinazotoka mbezi stendi

Linauzwa Mln 18 tu maongezi kidogo yapo
Ukubwa wa eneo ni 20x23(460 m2)
Vyumba 2(Master + single room)
Jiko na baraza mbele na nyuma
Public toilet na Sebule kubwa sana
Shimo la choo lipo limejengewa bado kufunikwa tu
Mtaa mzuri uliojengwa kisasa
Hati ni ya mkataba wa mauziano (sales agreement document).
0675 065906




 
Mkuu limeshuka bei unapata kwa mln 18 maongezi kidogo yapo
 
Msakuzi sehemu gani unafika mwisho wa bsjaji au
 
docs kipengele dah m nishataka kuuziwa mimbaaa goba na docs kama zote na mwenyekiti ser za mitaal aliishapangwa niliposhtuka sikutakwenda kulipa nkaxima simu maximal

na aliensaidia kuntonya n jiran aisee

m bila hati mmh
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…