fedha za kununua bunduki na risasi za kuulia wabara wanazo, za kununua ma-boflo hawana?. uwaache wapumue waweze kununua boflo.
aisee kuna watu wajinga sijapata kuona. wee mbara gani alouliwa na mzanzibari? umepata kuona jambazi mzanzibari? umewahi kusikia albino kauliwa znz? umewahi kuona kibaka akichomwa moto znz? umewahi kusikia mauaji ya vikongwe znz? umewahi kuona mtu aliyechunwa ngozi znz?
huyu mjinga2 ndugu niwa2 wa mfumo ati pesa ya kununua bunduki kuua wabara wanazo!wazenj ni wa2 makin sana! na hal ngumu sio2 kwao hata bara mpaka ulaya eg ugirik ,spain
Biashara ya Mikate ya Boflo Zanzibar yadoda baada ya kupanda kwa bei
Wakazi wengi wa Visiwani Zanzibar wanapenda sana kutumia mikate ya Boflo kama ni chakula cha asubuhi,kutokana na kupanda bei kwa mikate hiyo hivi sasa hulundikana kwa wingi katika matenga kadhaa,pichani ni matenga ya mikate ikiwa imekaa wazi bila ya kufunika ukizingatia kipindi hiki cha upepo na mvua zinazonyesha.
aisee kuna watu wajinga sijapata kuona. wee mbara gani alouliwa na mzanzibari? umepata kuona jambazi mzanzibari? umewahi kusikia albino kauliwa znz? umewahi kuona kibaka akichomwa moto znz? umewahi kusikia mauaji ya vikongwe znz? umewahi kuona mtu aliyechunwa ngozi znz?
nimepata kuona PADRI akipigwa risasi na mwandishi wa habari wa TVZ akipigwa jiwe akiwa kanisani. sasa ?mambo ya albino znz yatatoka wapi wakati wa znz wengi ni albino ndomaana wabara wanawindwa
Boflo +Boflo=Biashara ya Mikate ya Boflo Zanzibar yadoda baada ya kupanda kwa bei