Bodi ya mikopo

Bodi ya mikopo

Sam mirror

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2018
Posts
1,461
Reaction score
2,241
Tanzania Tanzania Tanzania nakupenda nchi yangu hii ndo nchi ambayo mtoto wa masikini ata afaulu kuendelea na masomo ya elimu ya juu ni ndoto za abunuasi na alinacha hii ndo nchi ambayo watoto wa vigogo waliosoma private wanainjoi mkopo wa serikali na kula maisha chuo hii ndo nchi ambayo sauti ya mnyonge haisikiki ata iweje ni mwezi unaenda kuisha toka vyuo vifunguliwe ila jopo kubwa la watoto wa maskini kama mimi awajui atima yao wengi wameshindwa kulipoti chuo na waliofanikiwa kulipoti chuo kwa fedha ya kukopa maisha wanayoishi ajuaye ni mungu ehe bodi ya mikopo mtatoa majina lini AWAMU YA NNE japo watoto wa masikini tufanikishe ndoto zetu nakupenda sana TANZANIA nchi yangu mimi ni yule kijana mzalendo niipendayo nchi yangu TANZANIA
 
Tusubr tyuu forth batch coz me pia n mhanga Wa hilo
 
Mkono ndio aliyeleta majanga kuileta Bodi ya mikopo,kabla ya bodi mambo yalikuwa safi,unaenda Auxilliary polisi unakinga 150,000/= yako au 270,000/= unatambaa.
 
Sasa fourth batch itatoka ln mbona mda unazidi kwenda na vyuo cyo mda watafanya test one inakuwaje?
 
Back
Top Bottom