Bodi ya mikopo ya elimu ya juu mnatuibia wanufaika!!

Bodi ya mikopo ya elimu ya juu mnatuibia wanufaika!!

mbisom ramos

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
812
Reaction score
396
Salaam wakuu!!!
Nimeangalia salary slip ya mwezi wa 4 na mwezi wa 5 deni liko pale pale wakati bodi tayari wameshakata!!! Pesa kifupi ni kwamba balance iliyopo ya mwezi wa nne na mwezi wa tano iko vilele kifupi tunaibiwa
 
Una angalia vp deni lako, na mm nataka nicheki kama huwa linapungua au ndio mapicha picha tu!
 
Namm ni muhanga,kwenye ufatiliaji wangu nkapewa link ya twitter yenye bandiko hili toka Heslb,nadhani litakuwa na majibu,japo hata mimi sijaelewa kwann salary slip isome kiwango kilekile,ina maana mwezi may hiyo tozo yao inalingana na makato yangu?kifupi bado sijawaelewa vizuri..
D8iDRPrXUAAnIhN.jpeg
 
Bodi ya mkopo hata ukimaliza deni lao kwenye salary slip LINAZALIWA DENI JINGINE JIPYA KABISA KUTOKA KWAO SIJUI WA SHIDA GANI HAWA JAMAA ,Pesa zenyewe walikuwa wanatupa kwa manyanyaso
 
Hili swala LA mwezi Wa NNE Na watano pamoja Na kukatwa lkn deni limebaki vilevile halijapungua huu si wizi kabisa jmn!!
 
ndugu zangu pale suala la bodi ya mikopo ya elimu ya juu lina ukakasi mwingi sana...Mimi mwaka 2014 nilienda wakanipa print out kwamba nadaiwa 23M,nimelipa weeeee kwa miaka 6 mpaka mwaka huu mwanzoni deni halipungui....nikaenda tena pale bodi ya mikopo nikapewa statement nyingine deni sasa limefikia 72M..... nimepambana nao kujua nini kimetoa lakini mpaka ukienda kwa huyu anakuelekeza kwenda chumba kingine floor nyingine na mpaka sasa wanapiga tu danadana.
kwa ufupi kama mna ndugu wanaotegemea kwenda university chonde chonde washauri sana sana kopa mtavyoweza kawasomeshe watoto private...bodi ya mikopo ya Tanzania imejaa ubabaishaji
 
Back
Top Bottom