Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
TCU vocha zao wenyewe wanasema hazipo, ukipiga simu wanajibu kwa nyodo na kujisikia sana kabla hujaeleza shida wanakata
Kwa vyovyote kama ni wakike watakuwa ni VINGAMUZI vyao na kama ni wakiume watakuwa ni WALIBERAL wao.TCU vocha zao wenyewe wanasema hazipo, ukipiga simu wanajibu kwa nyodo na kujisikia sana kabla hujaeleza shida wanakata
Kwakweli nchii tunakokwenda ni ajabu............ukianzia TCU namba za simu Zilizowekwa ili mtu awasiliane nao ni kwamba zote tunaambiwa hazipo. Hilo moja namba ya HESLB (Phone 255-22-2669036/7) pigeni zikipokelewa nawapa zawadi. Sasa kujaza form kwa ajili ya mikopo muda huu saa 8 : 45 asubuhi huwezi kufanya chochote unaambiwa database error occured. Sasa hii inakuwa balaa............hakuna userious wowote. Vijana wametoka kijijini wamekuja internet lakini tovuti majanga....yaani nchi hiii sijui tunaweza nini
Tatizo kubwa la kukwama kwa usajili wa mikopo siyo watu wengi wapo on line, hasha, Tatizo ni hizo computer za bodi ya mikopo ni hafifu sana. Hawa majambazi wa bodi ya mikopo wamenunua computer hafifu sana kwa mabilioni ya Shs,za walipa kodi wa nchi hii kwa kuwa hakuna yeyote anayehoji ubora wa kilichonunuliwa ndiyo maana hawana hofu yoyote. HAKUNA mamlaka yoyote inayouliza ni kwa nini haya matatizo yapo na kwa nini yanajirudia rudia. Ingekuwa hapa ni China hiyo ofisi pamoja na wakurugenzi wote wangekuwa wapo makaburini siku nyingi. Ndugu zangu hii nchi ni ya ajabu sana, umeona wapi watu wanatengeneza safari yaRais ya nje na kwenda kuchukua pesa na kuzitia mifukoni bila kuulizwa lolote.
wasalam
Database error inatokana na watu wengi kujaribu kuaccess webpage kwa wakat moja so database inakua overloded na inashindwa ihifadhi data gani au i retrive data gani so muda mzuri wa kujaza ni usiku wakati users wanakua wachache ukijaza wakati kuna over loaded ya watu kuna highly chance ya details zako kupata errors au zisihifadhiwe uko apo?
thats true mkuu mimi nimejaza leo saa nane usiku kiulaini bila shida lakini tujiulize ni wote wenye acces ya enternet usiku wakat internet nyingi usiku huwa zinafungwa saa mbili hadi saa tatu mwisho???cha msingi wangejipanga tu ili mambo yaende sawa kaka
mitandao ya kibongo ni full errors hasa kwenye system zao wanazodai wameboresha lakini bado ni matatizo, mpaka lini jamani?