Bodi ya Mikopo Majanga, Database error yatawala tangu jana hadi sasa!!!

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,732
Kwakweli nchii tunakokwenda ni ajabu............ukianzia TCU namba za simu Zilizowekwa ili mtu awasiliane nao ni kwamba zote tunaambiwa hazipo. Hilo moja namba ya HESLB (Phone 255-22-2669036/7) pigeni zikipokelewa nawapa zawadi. Sasa kujaza form kwa ajili ya mikopo muda huu saa 8 : 45 asubuhi huwezi kufanya chochote unaambiwa database error occured. Sasa hii inakuwa balaa............hakuna userious wowote. Vijana wametoka kijijini wamekuja internet lakini tovuti majanga....yaani nchi hiii sijui tunaweza nini
 
TCU vocha zao wenyewe wanasema hazipo, ukipiga simu wanajibu kwa nyodo na kujisikia sana kabla hujaeleza shida wanakata
 
yani mi mwnyw nashndwa kuwaelewa kwa kweli.. bora hata zamani, hii misystem yao walioiweka sasahv inazngua ile mbaya..
 
Tangu jana nilikuwa cjiwez tumeambiwa tutumie matokeo ya O-level naingiza namba naambiwa sina credit za kutosha nikahisi kichaa kinanijia leo hii mchana ndo imekubali mtandao unazingua sio siri
 
Kwakweli nchii tunakokwenda ni ajabu............ukianzia TCU namba za simu Zilizowekwa ili mtu awasiliane nao ni kwamba zote tunaambiwa hazipo. Hilo moja namba ya HESLB (Phone 255-22-2669036/7) pigeni zikipokelewa nawapa zawadi. Sasa kujaza form kwa ajili ya mikopo muda huu saa 8 : 45 asubuhi huwezi kufanya chochote unaambiwa database error occured. Sasa hii inakuwa balaa............hakuna userious wowote. Vijana wametoka kijijini wamekuja internet lakini tovuti majanga....yaani nchi hiii sijui tunaweza nini

Database error inatokana na watu wengi kujaribu kuaccess webpage kwa wakat moja so database inakua overloded na inashindwa ihifadhi data gani au i retrive data gani so muda mzuri wa kujaza ni usiku wakati users wanakua wachache ukijaza wakati kuna over loaded ya watu kuna highly chance ya details zako kupata errors au zisihifadhiwe uko apo?
 
Tatizo kubwa la kukwama kwa usajili wa mikopo siyo watu wengi wapo on line, hasha, Tatizo ni hizo computer za bodi ya mikopo ni hafifu sana. Hawa majambazi wa bodi ya mikopo wamenunua computer hafifu sana kwa mabilioni ya Shs,za walipa kodi wa nchi hii kwa kuwa hakuna yeyote anayehoji ubora wa kilichonunuliwa ndiyo maana hawana hofu yoyote. HAKUNA mamlaka yoyote inayouliza ni kwa nini haya matatizo yapo na kwa nini yanajirudia rudia. Ingekuwa hapa ni China hiyo ofisi pamoja na wakurugenzi wote wangekuwa wapo makaburini siku nyingi. Ndugu zangu hii nchi ni ya ajabu sana, umeona wapi watu wanatengeneza safari yaRais ya nje na kwenda kuchukua pesa na kuzitia mifukoni bila kuulizwa lolote.

wasalam
 
thats true mkuu mimi nimejaza leo saa nane usiku kiulaini bila shida lakini tujiulize ni wote wenye acces ya enternet usiku wakat internet nyingi usiku huwa zinafungwa saa mbili hadi saa tatu mwisho???cha msingi wangejipanga tu ili mambo yaende sawa kaka
 
Inakatisha tamaa hasa ukiona wadogo zetu wanavyoteseka.wengine wamekata tamaa.
 
Tatizo kubwa la kukwama kwa usajili wa mikopo siyo watu wengi wapo on line, hasha, Tatizo ni hizo computer za bodi ya mikopo ni hafifu sana. Hawa majambazi wa bodi ya mikopo wamenunua computer hafifu sana kwa mabilioni ya Shs,za walipa kodi wa nchi hii kwa kuwa hakuna yeyote anayehoji ubora wa kilichonunuliwa ndiyo maana hawana hofu yoyote. HAKUNA mamlaka yoyote inayouliza ni kwa nini haya matatizo yapo na kwa nini yanajirudia rudia. Ingekuwa hapa ni China hiyo ofisi pamoja na wakurugenzi wote wangekuwa wapo makaburini siku nyingi. Ndugu zangu hii nchi ni ya ajabu sana, umeona wapi watu wanatengeneza safari yaRais ya nje na kwenda kuchukua pesa na kuzitia mifukoni bila kuulizwa lolote.

wasalam

mkuu we acha tu!! nimeingia website.informer.com nikakuta hawa jamaa providers wao ni SimbaNet - swali ni hawa SimbaNet wako competent kiasi gani katika hili na je hakuna providers ambao ni wakali zaidi au ndo masuala ya UFISADI wa nchi hii unaendelea kutumung'unya!!
 
Database error inatokana na watu wengi kujaribu kuaccess webpage kwa wakat moja so database inakua overloded na inashindwa ihifadhi data gani au i retrive data gani so muda mzuri wa kujaza ni usiku wakati users wanakua wachache ukijaza wakati kuna over loaded ya watu kuna highly chance ya details zako kupata errors au zisihifadhiwe uko apo?

Of course hapo umenena,usiku mtandao huwa unakamata fresh.Lakini hizo namba zao hazina cha usiku wala mchana,nyodo nyingiiii.
 
thats true mkuu mimi nimejaza leo saa nane usiku kiulaini bila shida lakini tujiulize ni wote wenye acces ya enternet usiku wakat internet nyingi usiku huwa zinafungwa saa mbili hadi saa tatu mwisho???cha msingi wangejipanga tu ili mambo yaende sawa kaka

Tumia smartphone. Nifahamu most online applications, unaweza kutumia smartphone unless web page design inayo mapungufu makubwa.
 
mitandao ya kibongo ni full errors hasa kwenye system zao wanazodai wameboresha lakini bado ni matatizo, mpaka lini jamani?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom