Bodi ya Mikopo kwa walio appeal

Kijaketi

Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
59
Reaction score
7
Habari wana jamiiforum Naomba kuuliza hivi kwa walio appeal mikopo hadi sasahivi imeshapita zaidi ya miezi mitatu hamna feedback yoyote hadi sasahivi semester inaisha au ndio wameshawapotezea
 
Ndugu yangu kiukweli unaweza ukaka mda mwingine unafikiri mpaka unataman kulia peke yako

Mimi mwenyewe nimesubiri na nikasubiri tena, nimefuatilia na nikafatilia tena, nimeuliza na nikauliza tena bila kupata majibu yaliyo sahihi kuhusu hilo swala!!

Kiukweli roho inauma sana ukiangalia familia nyumbani hawana uwezo wa kukusomesha halafu mkopo ndio hivyo tena unasumbua yani dah inauma sana!

Yani mi ningepata hata kampuni yakuingia nayo mkataba ningefanya hivyo ila tatizo sijui naanzia wapi kujua hayo makampuni na watu ambao wanaweza kunipa msaada.

Nawaomba bodi ya mikopo ebu wafanye hima juu ya hilo sisi watoto wa wakulima tunapata shida sana yani!!
 
cijaona umuhimu wa kuweka taratibu za ku appeal wakati wanajua hakuna pesa, au ndio walitaka watupige hizo elfu kumi za ku appeal
 
Wakuuu tokea muanze chuo mmesaini hata boom ? Mimi mkopo wangu ulienda udsm wakati Mimi selected IAE nimekula 524000 juz Lakini mia saba mpaka sasa sijaisaini
 
Appeal zlishatoka siku nyingi, Mimi nimejua tangu tarehe 02 march 2016.
 
Kwa hapa UDSM majina kwa walioappeal yametoka mda sana nafikir yana kama more than 3 weeks iv, sa cjui kwa other colleges.
 
Naomba kuuliza,hiv kuna mwanafunz yeyote wa MD aliyemaliza chuo miaka zaid ya mi3 iliyopita akapata nafas ya kusoma MD kisha akanyimwa mkopo na heslb kwa kigezo cha miaka hapo juu?
 
Kwani Heslb wameshatangaza kupokea maombi ya mkopo kwa academic year 2016/17????
 
Ushaliwa Heslb hawajaanza kupokea maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…