Itamaliza vipi wakati ili lazima kusign kwanza ,na ilo zoezi linafanyika baada ya usajili,kwa kua zamani Pesa nyingi zilipotea,mtu anapata Mkopo anapotea ,au wanafunzi wengine waliopata Mkopo wasipokwenda kuanza basi Pesa inaliwa na wajanja ,vumilieni kuna wenzenu pia bado ata hawajapata vyuo na huo Mkopo wenyewe