Unalosema ni kweli, Leo nimefanikiwa kujiunga, den nimekuta limeongezeka baada ya kupungua, from 7ml to 11ml..Wezi tu hao wanakubambikia madeni ambayo hayapo
Kama unapresha nkushauri usiaangaike kuangalia deni lako maana upuuzi utakauona huko utakukatisha tamaa hata ya kufanya kazi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
